Mwenyekiti wa Simba ,Ismail Aden Rage anayo kesi ya kujibu kutokana na uongozi wake kuingia deals anuwai ambazo zimeipelekea club ya Simba kupoteza assets zake.Nitaorodhesha kwa uchache;
Sakata...
draw ya euro 2016 inafanyika live sasa hivi. Jumla ya mataifa 53 ya ulaya yatashiriki katika draw ambayo itatoa mataifa 24 yatakayocheza fainal mwaka 2016.
Fuatilia kupitia goal.com
Nimesikia kupitia radio kuwa kwenye magazeti ya leo upande wa michezo akinukuliwa Charles B. Mkwasa akisema upelelezi wake huko Misri kuhusu Al Ahly ni eti wacheze wakiwa na mashabiki wao ama la...
Kufuatia mchakato unaoendelea wa kufanyia marekebisho katiba ya Simba,miongoni mwa mambo yanayosemekana yatafanyiwa marekebisho ni jina la klabu ya Simba sc kuwa Dar es salaam United...je wewe...
Ikijiandaa kuwakabili waarabu, mabingwa watetezi wa vpl, leo wanashuka uwanja wa taifa kutafuta point muihimu za kutetea kombe lao. cc @wadau HT;RUVU 0-4 YANGA.
FT; RUVU 0- 7 YANGA.
Timu za ligi ya EPL arsenal na man city zilikuwa katika kiwango kibovu kiasi kwamba hawana ushindani wanapokutana na vigogo wa la liga na bundesliga,ndo maana hata kwenye FIFPRO 11 hakuna hata...
Ndugu zangu wana jamii na wapenda michezo hususani wakazi wa kilimanjaro,nimeona leo nimtaje mtu ambaye amekua akirudisha soka la kilimanjaro na viunga vyake,nahuyu sio mwingine bali ni shabani...
Kutokana na wizi wa kipuuzi uliotokea mechi zilizochezwa uwanja wa sokoine meneja wa uwanja ndg. Modest ameomba TFF kumwondoa msimamizi wa Mbeya na kuleta mwingne akiamini aliyepo anashirikiana na...
Na Nicodemus Jonas
KOCHA Mkuu wa Simba, Mcrotia Zdravko Logarusic, amesema iwapo ataendelea kukinoa kikosi hicho msimu ujao, ndoto ya usajili wake ni kuchota nyota kutoka Ligi Kuu ya Kenya...
Poleni wadau na mashabiki wa Arsenal FC, nina imani hata nyinyi mlielewa nini kingetokea lakini baadhi yenu mliendelea kujipa moyo. Umiliki wa 70% kwa Bayern na 30% kwa Arsenal kwa kweli...
Juzi juzi nimeanza kufuatilia kwa ukaribu tabiri (predictions) za Mark Lawro na Paul Merson. Hawa ni magwiji wawili waliobobea katika kutabiri matokeo ya mechi za ligi ya England (EPL, FA cup...
Samahani waungwana nilikuwa nasoma habari za michezo kwenye blog ya UEFA na nikakuta na habari ambayo imeandikwa kuwa bodi ya uefa kufanyia uchunguzi madai ya kocha mkuu wa man city jambo moja...
Mechi inaendelea baina ya wapinzani wa Yanga mabingwa watetezi na wa Club bingwa dhidi ya mabingwa watetezi wa Confederation Cup timu ya CS Sfaxien, hadi sasa El Ahly inaongoza kwa goli moja.
WanaJF, mimi nasikitishwa sana na tabia inayojenga mizizi hii channel ten ya kutopangilia vipindi vyao na kusababisha kutuonyesha mechi recorded wakati wao wana license ya kutuonyesha watz live...
Wapenzi wajf kalibuni tena katika ukurasa hu. Hivi unazijua sheria za ku bet katika soka......
1. Usi bet kama mshabiki wa timu flani labda kama mshabiki wa arsenal,liver,man u,juve,barc au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.