Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Askari wa kutuliza ghasia, FFU, wakipiga mabomu ya machozi hewani kuwatawanya mashabiki wa Simba, waliokuwa wakifanya fujo kwa kung'oa viti na kurusha uwanjani baada ya timu ya KageraSugar...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
Ni tukio la kusikitisha kwa mashabiki na jamii nzma kwa tukio lililooneshwa na mashabiki wa simba baada ya kusawazishiwa goli kwa njia ya penati dk za lala salama na kuanza kung'oa viti vya uwanja...
2 Reactions
55 Replies
6K Views
Mahakama ya mwanzo jijini Mbeya, imewahukumu kifungo cha miezi 12 kwenda jela au kulipa faini ya Tsh. 300000 kila mmoja, watu watano kati ya sita walioshitakiwa kwa kosa la kuharibu mali katika...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Mabingwa Tanzania Yanga leo wanashuja kwenye uwanja wa Taifa kuania saa 10 kamili jioni kumenyana na Vijana wa Jeshi la kujenga Taifa JKT Ruvu. Ushindi kwa leo ni muhimu sana kwa Yanga ili...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Leo yanga anashuka dimbani katika kuendelea kuikamilisha raundi ya kwanza ya Ligi Tanzania Bara. Jana watani wao wameshindwa kuvumilia matokeo wakaamua kumalizia hasira zao kwenye mali ya...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Walianza na bus la wachezaji wa Yanga..... Na leo wamelishambulia bus la wachezaji wa Prisons na gari la kiongozi wa Prisons...... Kuna taarifa kwamba mchezaji mmoja wa Prisons amejeruhiwa...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Droo ndio imekuwa utamaduni wa Simba Sc kwasasa,wakitoa droo wanshangilia,wakitoa droo wanang'oa viti uwanjani sijajua siku wakifungwa itakuwaje. Mimi niliacha kushabikia Simba muda mrefu baada...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Tanzania ina mpira mzuri lakini chanzo cha ligi yetu kutokufikia viwango vya kimataifa ni: 1.mipangilio hasi katika vilabu. 2. Tunaiga mf:watz mfumo tunaotumia ni wa england 3.viongozi waliopo...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Ikiwa ndani ya dakika kumi na sekunde kadha mwamuzi wa kati aliwapa penati ya burere kbs hawa mashetani wekundu na kwa kweli hawakustahili penati hata kama ni waamuzi wetu wa Bongo wangechezesha...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
katika mechi 4 ngumu zilizopita Simba imeambulia points 3 tu , sasa kama tunataka ubingwa ni lazima tuzifunge timu ngumu. Coastal union 0 Simba 0 Simba 3 Yanga 3 Simba 1 Azam 2 Simba 1 Kagera...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Lunyasi wametoka?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada yakutoa sare na Kagera sugar Mashabiki wa Simba wanang'oa viti vya uwanja wa taifa na mashabiki wanapambana na Polisi ambao wanalipua mabomu ya machozi. My take Wanachama wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Labda nijitambulishe kuwa mimi ni mdau wa Lugha ya Kiswahili na mpenzi wa hiki kituo cha Redio. Kwa kweli nakereka mno na watangazaji wa kipndi cha michezo cha Redio hii akina Edgar, Lwambano...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Beki kisiki na nahodha wa zamani wa Taifa Starz, Shdrack Nsajigwa ametimkia nchini Nepal kwenda kucheza soka la kulipwa, mimi niliye karibu na mchezji huyo aliniaga mwishoni mwa wiki iliyopita...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Mashabiki wa Mbeya City waliamua kubeba jeneza na kulizungusha uwanjani kama ishara ya kuizika rasmi Tanzania Prisons baada ya kuiangushia kipigo cha mabao mawili kwa sifuri. Mpira ni burudani, na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni kipigo kizito kitakachowapata wanamgambo hao wa KABUKU Tanga. Najua members wa jukwaa hili mtakua hapa kuleta updates. Matokeo/Mechi za leo: Yanga3-0Mgambo-taifa(full time) Mbeya...
4 Reactions
221 Replies
14K Views
Uongozi uliopita ni kama uliliweka soka letu kwenye radio ya FM (Frequency Modulation) kwa maana ni sehemu chache tu ndio soka limeendelezwa, sasa uongozi huu wa sasa unapaswa kuliweka soka letu...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Jana mechi ya Azam FC na Simba SC matokeo yalikuwa 2 kwa 1, baada ya mechi kocha wa Simba Abdala Kibadeni alihojiwa na kukiri mapungufu yaliyosababisha timu yake kufungwa kuwa ni kukosekana kwa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Naanza kwa salamu za pongezi kwenu kwa ushindi wenu ambao hamjaupata kirahisi. Mmevuka milima na mabonde kuzipa hizo nafasi zenu make Tenga na Jeshi lake kupitia Osia Angetile ( Anaudhi sana huyu-...
0 Reactions
1 Replies
985 Views
Ivo mapunda ameitwa katika kikosi cha taifa star na vilevile wameitwa wachezaji wanne wa mbeya city. Amesema kaita wachezaji wengi ambao atawafanyia mchujo baade. Mia
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom