Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
UEFA HIYOOOOOO http://www.bongocelebrity.com/2013/05/22/shuhudia-fainali-ya-kombe-la-uefa-jumamosi-hii-kupitia-dstv/
0 Reactions
0 Replies
744 Views
SHUHUDIA FAINALI YA KOMBE LA UEFA JUMAMOSI HII KUPITIA DStv
0 Reactions
0 Replies
645 Views
leo fc barcelona wametoa t-shirt mpya kwa ajili ya season inaokuja 2013-2014 jionee
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Group A EL Merriekh(Sudan), Simba(TZ), AL Mann(Somalia), APR(Rwanda) Group B AL Hilal(Sudan), Ahl Shandi(Sudan), Al Nasri(S.Sudan), Tasker(Kenya), Super Falcon(ZnZ) Group C Yanga(TZ)...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Siku zote nasema Tanzania hakuna wasomi,kama wapo hawafiki ishirini. Wakati ngasa anakwenda kwa mkopo Simba kutoka azam kiongozi m1 wa simba aliongezea kwa kusema kuwa pia ngasa amesaini mkataba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
For the last few years, there has been no "new Kids on the block". We remember the likes of Beckham, Giggs, Scholes, Nick Butt and the Neville brothers were instrumental for the SAF reign in...
0 Reactions
1 Replies
815 Views
Leo hii kama unatumia vigezo ambavo Barca walitumiwa kufanyiwa classification(vya mtaani) kuwa eti oooh...kashuka kiwango mbona katoa draw kafungwa na nanilihii..na nanilihi...na ukiilinganisha na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
KATIBU TFF Alipotafutwa na gazeti hili jijini Dar es Salaam kuzungumzia suala hilo, Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah alisema malipo ya asilimia 15 ya uwanja katika mgawo wa serikali kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Mshahara wake kufuru. Atajiunga na Yanga j'mosi jioni zanzibar baada ya mechi ya watani!
0 Reactions
57 Replies
9K Views
Posted by fununu habarimichezo5/19/2013 06:17:00 AM Refa Martin Saanya kushoto akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbangu asipigane na beki wa Simba SC, Nassor Masoud 'Chollo' kulia...
0 Reactions
1 Replies
42K Views
Kwa wafuatiliaji wa michezo na wale wanaofanya betting online,michezo kama football,basketball,tennis,rugby,n.k. mmeshafanikiwa kujishindia donge nono?je mlifanyaje? unapanga timu zako kama 10...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
AFANDE SELE AGOMA KULA BAADA YA SIMBA KUPAKATWA NA YANGA King Selemani ama Afande Sele kutoka mji kasoro bahari Morogoro ni moja ya watu wanaoonekana kuwa ‘addicted’ na ushabiki wa soka kiasi...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Nimeshindwa kujizuia nikitafakari matokeo ya mechi ya Simba na Yanga... kweli matokeo ya mechi ni kushindwa kushinda na kutoka sare... lakini mazingira ya mchezo wenyewe ndo tatizo... Kipa kaseja...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Breaking news / His career as Real Madrid's manager is over Bye Bye Mourinho! Real Madrid president Florentino Pérez has confirmed the exit of the Portuguese manager José Mourinho at the end...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mario Balloteli jana alifunga bao moja na kuisaidia AC Milan kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Siena.Bao lingine la Milan liliwekwa kimiani na Mexes aliyeunganisha krosi ya Montolivo. Mabao ya Milan...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Duh! wadau ni kweli jamani?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau nimepata wakati mgumu kusikia kuwa Ngasa amesaini yanga.sina tatizo na yeye kwenda Yanga,ila concern yangu ni je;DIRISHA LA USAJILI TAYARI LIMEFUNGULIWA?KAMA BADO NI UTARATIBU/KANUNI/SHERIA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani naombeni msaada wenu,hii haikua mechi ya fainali,kwanini simba wamepewa medari.?na kama ni utaratibu mbona mwaka jana baada ya kuwaadhibu yanga kwa gori tano hawakupewa medari.?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mnyama ndani kapigwa 2 bila na nje ya uwanja Ngasa karudi nyumbani. Yanga kama Barca!! Mtajiju!!
0 Reactions
1 Replies
825 Views
Wao mafanikio yao ni kumfunga Simba tu.Wanasema hawategemei kufanya usajili kwani wachezaji walio nao wanatosha kukabiliana na mashindano!Hivi Yanga wana striker wa kupambana ktk klabu bingwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom