Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
jamani Simba fanyeni mambo kesho..nimmemmiss yule jamaa wa HUJUMA sijamuona siku nyingi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Pamoja na Simba kutumia wachezaji wake vijana wenye spidi mbio na vipaji vya hali ya juu kama Chanongo, Seseme,Singano na wengine lakini Yanga wameonesha kuwa hawabahatishi wameweza kuwapiga Mabao...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mambo ya Samatta huko DRC. Wiki iliyopita 11/05/2013 Wiki hii 19/05/2013 Inapendeza sana.............
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Wadau, Nimesoma gazeti moja jana linaloeleza jinsi Michae Wambura anavyofafanua kuhusu kinachotakiwa na FIFA kuhusu marudio ya uteuzi wa majina ya kugomea urais wa TFF. Wengi tumesikia na binafsi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Epl
Daaaaaaah_huyu man cty na kaka ake wote n***k#_yani wametunyima ela za MUiNDi!!!!!
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Habari ambazo zimezagaa ni kwamba Manchester City wanatarajia kumfukuza kocha wao wa sasa Roberto Mancini. Nafasi yake inatarajiwa kuchukuliwa na kocha wa sasa wa Malaga, Manuel Pellegrini...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
"Special card 4u" * ¡"""""'""''""""""'''' ¡* * ¡ .+""+...+""+. ¡* * ¡+MWALIKO + ¡* * ¡ "+. .+"+''+''+ ¡* * ¡ "+"+"+"+"+"+ ¡* >>>>>>>>>>>>>> familia ya mr YUSUF MANJ WA DSM...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Wabunge wawili ambao ni wanachama wa Simba na mmoja ni mwenyekiti, Ismail Aden Rage na Felix Mkosamali (Muhambwe) wamekiri kusafiri kwenda mikoani kuweka mambo sawa ili kuishinda Yanga leo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
David Beckham makes tearful exit in final Paris Saint-Germain home game• Beckham pays tribute to colleagues, staff and fans • Unlikely to feature in PSG's final game away at Lorient...
0 Reactions
1 Replies
827 Views
na hv ndivyo mnyama simba alivyopakatwa na Yanga piga makofi tafadhariii
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wale wapenda ukweli tafuteni StarTV sasa hivi mfaidi mechi hii na sio kumsikiliza mtangazaji wa radio. Mechi nzuri ila naona 'pitch' sio nzuri.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Brazil leave out Ronaldinho and Kaka May 14, 2013 By ESPN staff Ronaldinho and Kaka have not been named in Brazil's squad for their Confederations Cup campaign. On Tuesday, Brazil head coach...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Fainali ya kombe la Mfalme huko Hispania inapigwa leo kwenye majira ya 22:30(EAT) kati ya mahasimu wawili kutoka jiji la Madrid, R.Madrid Vs A.Madrid. Match ya leo imetawaliwa na tetesi za...
1 Reactions
136 Replies
7K Views
OFFSIDE GOALS: watch Supersport United vs El Ahly live stream free April 2, 2011 in CAF Champions League
0 Reactions
4 Replies
12K Views
Hivi karibuni pamekuwa akisikika sijui ni msemaji wa klabu au nani Jamhuri Kiwelu akisema klabu yake inachezesha watoto katika mechi hizi za ligi, sasa wana JF naomba tufahamishane hao watoto ni...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nwaomba wadau humu mnisidie link itakayoniwezesha kuiona gemu ya leo ya watani wa jadi...plz mwenye kuifahamu aiweke humu
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Namba kumi (10) ipi kali kati ya hizi messi,romario,ronadinho,rivaldo,maradona.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Simba = (Daudi) Vs Yanga=(Goliathi) anaye bisha akasome biblia kilichotokea kati ya Daudi na Goliathi.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
7 APRIL 2013: ZURICH MARATHON, SWITZERLAND MEN: 1 Tadesse ABRAHAM ERI 2:07:44 2 Edwin Kiprop KORIR KEN 2:10:26 3 Samson Mungai KAGIA KEN 2:10:42...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom