Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Yes,ntajing'ata makalio kiukweli lol! Kwasababu najua na nina uhakika kwamba ndio siku ya kulipa deni lililodumu kwa mwaka mmoja!
2 Reactions
54 Replies
5K Views
Vp wadau wa sports kesho ndiyo fainal ndogo ya uefa mnaizungumziaje?
0 Reactions
101 Replies
6K Views
Nipo hapa uwanja wa taifa nikikata tiketi kwa ajili ya mtanange wa kesho watu ni wengi na cha kushangaza hawaogopi mvua kabisa. Wapo kwenye foleni hadi kieleweke. Mvua ni kali mno. Viva Yanga...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
David Beckham has retired from football, bringing an end to a glittering career on the field. Despite the offer of an extended one-year deal at Paris Saint-German, sources in Paris have revealed...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nikikumbuka mechi ijayo ya Simba na Yanga,kama namuona Mbuyu Twite akishangilia goli la tatu dakika ya 39 kipindi cha kwanza. ....Kama namuona rage akiondoka uwanjani mapema dakika za mwanzoni...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Viwanja vya michezo vilivyopo kote ulimwenguni havina budi kuwa na vyoo bora ikiwa ni pamoja na mazingira ya viwanja hivyo kuwa safi wakati wote. ManyandaHealthy: VIWANJA VYETU VYA MICHEZO VIWE...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiungo mkabaji wa manchester united Michael Carrick kuchukua tunzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Klabu,hakika jamaa anastahili kwani amechangia asilimia kubwa ya mafanikio kwa klabu si kwa...
1 Reactions
0 Replies
876 Views
Ferguson kaagwa jana na mashabiki lukuki wa Man utd huku vijana wake wakimpa zawadi ya ushindi wa mabao 2 - 1. Mara baada ya mechi alitoa speech yenye huzuni lakini yenye kutia matumaini. Sehemu...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi hapa huwa siwaelewi kabisa!ina maana na boban nae walimshikaga alivyokuwa ulaya? Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
0 Reactions
2 Replies
1K Views
From champions legue to europa legue.
0 Reactions
0 Replies
743 Views
a dying second goal gave chelsea a win UEFA EUROPA LEAGU. goli la Ivonovic sekunde ya mwisho limeipa ushindi chelse wa kombe la UEFA NDOGO. FT:2-1
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Wanajamvi, hivi sasa kuna parade rasmi la kutembeza kombe la Barclay Premiership. Mnaweza kuangalia gwaride hilo live kuanzia Old Trafford. Champions 2013 Parade - Live coverage of United's...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Aron Ramsey kafunga goli zuri sana la 4 katika ushindi wa leo wa Arsenal. Swali ni kwamba hilo goli litaleta msiba gani?
0 Reactions
3 Replies
878 Views
Kuhusu pambano la watani wa jadi sie watu wa Sumbawanga tumeshachungulia kitakachojiri siku hiyo.niwape siri kidogo tu mhuu yale yale nawashauri Yanga wasipeleke timu uwanjani
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Bayern Munich na Borussia Dortmund katika Bundesliga: === Borussia Dortmund held Bayern Munich to a bad-tempered 1-1 draw in the Bundesliga on Saturday ahead of their Champions League final...
0 Reactions
4 Replies
946 Views
Wenger to leave the position as Arsenal's manager at the end of the season. He's moving upstairs.
0 Reactions
5 Replies
889 Views
From Man U fans around the world............Give us yours please. FERGUSON'S BEST XI Alex McCallum: Schmeichel, G Neville, Evra, Stam, Vidic, Giggs, Scholes, Keane, Ronaldo, Van Persie, Cantona...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sikubaliana kwamba Simba Sports club ilistahili kuachiwa ili kupata point 6 kutoka kwa Kagera timu inayofundishwa na mchezaji na kocha wa zamani wa Simba Abdallah Kibadeni "mputa+ lakini...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Wachezaji wote tegemeo waliokuwa wakiichezea Arsenal na kuamua kuondoka walipata mafanikio walikokwenda.Alianza patrick Viera kwenda Inter Milan. Pale alipata scudetto mara mbili. Akafuata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wayne Rooney alimwambia Ferguson wiki mbili zilizopita kuwa anataka kuondoka Manchester Utd. Hata hivyo, msemaji wa Man Utd amesema kuwa Wayne Rooney hauzwi. Rooney na kocha mpya mtarajiwa wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom