Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Wazee tupate updates za soka la italia na hasa magazeti makuu matatu ya michezo ya Gazetta dello sport,tuttosport na corriere dello sport.
0 Reactions
43 Replies
4K Views
bondia francis cheka inaonekana hana mpinzani tanzania baada ya kumtwanga mashali KO, mashali alijitaidi kupambana hadi round ya 10 alipotwangwa konde zito lilimpelekea kupoteza fahamu kwa dakika...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Amini usiamini ndo kinachoenda kutokea leo tena uwanja wa old trafford.......
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Huyu ndugu alipoondolewa yeye na Wambura hoja ya ubovu wa katiba ilipoanza.Hata Makala ndipo alijitokeza. Mtandao alioanzisha unafanana na ule dhidi ya akina Sumaye na Salim Ahmed Salim wakati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
robin van persie wa man utd,luis suarez wa liverpool na gareth bale wa tottenham nan anastahili tuzo ya mcezaji bora wa ligi kuu ya england msimu huu au PFA player of the year,toa maoni yako
0 Reactions
42 Replies
6K Views
hiki chama cha wachezaji wa mpira wa miguu kiitwacho sputnza kwelikipo hai? na je kama kipo hai kinafanya kazi gani?
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Miezi mitatu iliyopita niliandika uzi kama huu. Mashabiki wa Barcelona mishipa ya shingo ilitaka kuwapasuka kwa ubishi na matusi kuitetea timu yao. Sasa Bayern Munich imewaonyesha ukweli wa hicho...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Huyu jamaa roho ilikua inamuuma sana azam kuwapa startv haki ya kurusha game zao.nadhan sasa cloudz tv kupewa game ya leo atatuliza kiherehere
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Sote tumeshuhudia kiwango safi kilichooneshwa na mabingwa wa kihistoria wa UCL Real Madrid kiasi cha kuwafanya Dotmund waombee mpira uishe huku vijana wa Mourinho wakitiririka kama nyuki, kwa hili...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Sakata la uchaguzi wa chama cha soka tanzania limeingia gambo baada ya chama cha soka dunian Fifa kuamuru uchaguzo kurudiwa upya na katiba kurekebisha;;katika hatua ya kushangaza mwenyekiti wa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Robert Lewandowski Vita kusaka tiketi ya kusafiri kwendajijini London kwenye mchezo wa fainali wa klabu bingwa barani Ulaya. "UEFA Champions League 2013 Semi-finals , 2nd leg, 30 Apr-1...
0 Reactions
230 Replies
22K Views
FIFA yaagiza mchakato ufanyike upya! Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limelitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuanza upya mchakato wa uchaguzi baada ya kubaini...
0 Reactions
3 Replies
775 Views
BREAKING NEWS: FIFA YAWARUDISHA MALINZI, WAMBURA KUGOMBEA TFF | .
0 Reactions
2 Replies
890 Views
CHELSEA leo usiku inaenda chukua tiketi yake rasmi ya kwenda kucheza final ya EUROPA LEAGUE jaman plz dont mic to watch.... chama kubwa
0 Reactions
5 Replies
898 Views
Leo ikiwa ni mwisho kabisa wa kutupa Nanga yetu katika dimba la nou camp naamini na ninauhakika na nini kikosi bora duniani kinafanya kwani tumejiandaa kisaikolojia na kimkakati ku win match hii...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Urefu ,miili ya Bayern Munich bila kusahau Nguvu ya kimchezo vimewasaidia sana hawa vijana na kutoka na huu ushindi wa ajabu wa goli 7 bila,congratulates BM and ur coach Jup Hencles Sent from my...
0 Reactions
6 Replies
918 Views
Japo munich wameshinda magoli 4 ila ninaiamini timu yangu ya Barcelona kwamba itarudisha magoli yote m4 na nyongeza juu kama mnabisha mtaona.
3 Reactions
66 Replies
4K Views
shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limelitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuanza upya mchakato wa uchaguzi baada ya kubaini kasoro iliyotokana na ukosefu wa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Super Mario ametoa kali ya mwaka baada ya kuwaambia wachezaji wa Real Madrid kama watawafunga na kuwatoa Dortmund kwenye UCL hapo kesho, atawapa demu wake wamsex...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
0 Reactions
5 Replies
985 Views
Back
Top Bottom