Hii sheria nayo sasa imefika mda nayo itumike huku kwetu ili kuleta ushindani zaidi katika soka letu timu zetu zitakuwa zikijitaidi kushinda kabla ya ligi kuisha ili zipigiwe makofi kama...
Naomba tujadili nani atamrithi Fergie coz it is rumored kwamba may be after two seasons, Fergie will call it a day at Utd and Man Utd directors wameshaanza kutafuta for a possible replacement...
Jana wakati akifunga mashindano ya BULAYA CUP huko BUNDA mbunge wa viti maalumu ESTER BULAYA alilalamika kwamba wakati yeye akitafuta fedha kwa hali na mali kuendesha mashindano hayo kuna watu...
Ñarudia tena Barca kufungwa na Beyern sio kigezo au vigezo wanavyovitumia wataalamu wa soka kuchagua club boraaaa kabisa Barcelona
Ni mfumo wa uchezaji,ushindi katika mechi nyingi nyingi,ubora...
Mbona hakuna wafuatiliaji wa NBA playoff tunacheza muda huu...Game limefika 4th quarter Tanzania wapo nyuma point 3 na tunacheza nyumbani... Mungu ibariki Tanzania.
Jana katika taarifa ya michezo Channel TEN tulimuona mheshimiwa Ester Bulaya katika Bulaya Cup kavalia jezi nyeusi yenye strips za njano iliyotengenezwa na kampuni ya Addidas. Swali langu hiyo...
Malkia wa bees na MahaRage wako Uingereza kwa ajili ya kujikomba kwa klabu ya Sunderland, akiongea na Maulid Kitenge wa Radio One, mzee Kinesi amedai kuwa Simba itafaidika kwa kupeleka wachezaji...
Shirikisho la soka nchini linatambulika na FIFA kuiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini sikumbuki kama pameisha wahi kufanyika uchaguzi wake ukiwashirikisha wagombea toka Zanzibar...
Salam kwako Kaka,
Niruhusu nikutumie ujumbe kupitia jukwaa kwani sina namna nyingine ya kuwasiliana na wewe.
Niende kwenye maudhui ya waraka huu. Shirikisho la soka la dunia FIFA limetoa...
Hii ni kutokana na kupata kadi nyingine ya tatu leo mechi dhidi ya ruvu shooting.Kadi ya pili alipata mechi na azam ya kwanza aliipata katika mzunguko wa kwanza.
KILABU cha Barca leo kinaingia katika Dimba lake la Nou Camp kwenda pambana na KLABU ya Bayern Munchen ya Ujerumani.
Ikiwa na kumbukumbu mbaya ya kuchutama mara 4 katika Dimba la Alianz Arena...
Bao lake la dakika ya 84 dhidi ya Torino limeifanya AC Milan kuizidi alama 4 Fiorentina. Fiorentina na Milan zipo vitani kugombea nafasi ya tatu ya kucheza Klabu Bingwa Barani Ulaya kwa timu za...
Ningependa siku ya kukabidhiwa ubingwa Patrice Evra ndio akabidhiwe kombe kwa niaba ya timu nzima kama kapteni na si Nemanja Vidic.
Kwanini nasema hivo?nasema hivo kutokana na mchango mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.