Nimesoma magazeti jana kuhusu matatizo aliyonayo Jela Mtagwa na nafasi aliyokuwa nayo katija jumuia ya michezi na jamii kwa ujumla enzi zake. Nampa pole sana kwa yanayomkuta. Ni maoni kuwa Bwana...
Kocha mkuu wa Azam FC washindi wa 2 wa ligi kuu ya soka Tanzania bara Stewart Hall amewavulia kofia mabingwa wapya wa kusakata kabumbu nchini Tanzania kwa msimu wa 2012/13 Young Africans Sports...
Ama unatafuta mpira wa pili?KATIKA HALI YA KUFEDHEHESHA MCHEZAJI WA BDORTMUND LEWONDOSKY ALIFURAHISHA WAANDISHI WA HABARI KABLA YA KUONDOKA KUKWEA PIPA KWENDA SPAIN AKASEMA NIWACHEKESHE LAKINI NI...
Kwa wale wapenzi wa Ngumi leo kuna pambano la kukata na shoka kwenye ukumbi wa PTA 77. Mashari ni kijana mtukutu anayeishi maeneo ya Tandale anajukumu zito la kufuta ngebe na tambo za muda mrefu...
Wakuu hii ni special kwa shabiki atakaye weza kutabiri mtanange huu kati ya barca na bayern kama tunavyojua ni leo 3:45 usiku. mpango mzma unakuwa hivi
Taja idadi ya...
Kwa hali ilivyo matumaini ya Barcelona kufika fainali ya kombe la Mabingwa wa Ulaya ni madogo sana.
Lazima wafunge magoli matano bila majibu dhidi ya washindani wagumu waliokwishabeba ubingwa wa...
Leo ndo leo ni mwisho wa real madrid ndani ya uwanja wao wanachinjiwa baharini santiago bernabeo na BVB ndo hao wanatinga fainali Lendowsky atapiga nyavu kama kawaida ,leo madrid kajitahd sana ni...
Hali ya kiafya nakifedha aliyonayo jella mtagwa captain wa timu ya taifa kwa miaka zaidi 10. Na alikuwemo kwenye kikosi cha timu ya taifa kilichoshiriki fainali za mataifa huru ya africa mwaka...
..kutoka kwa mmoja wa wapambe wa mgombea wa kiti cha Urais bwn Nyamlani
..ni kwamba ujumbe wa FIFA uliokuja hapa na kuondoka leo..wamekubaliana na maamuzi ya kamati hivyo watampitisha...
I was married to Nigeria's Goldie, says Briton
The late Nigerian musician Goldie Harvey and Prezzo in this file photo. A British man claiming to be the husband of the late musician February 15...
Leo mnamo tarehe 2/3/2013 saa kumi na mbili jioni,FC Barcelona wataanza kazi yao.Baada ya kubezwa,kudharauliwa,kuonekana hawafai,kuonekana kiwango kimeporomoka na mambo yafananayo na...
Kweli Jungu Kuu Halikosi Ukoko - Mkongwe Dinho apewa Ukapteni wa Selecao!
Re: Scolari: Ronaldinho ahead of Kaka in Brazil pecking order - ESPN FC
*Utaliweza kweli seke seke kama la Mkongwe wa...
Mourinho kashawasha indicator ya kurudi "I know in England I am loved, I know I am loved by some clubs, especially one."
Habari ndo hiyo. ukitaka uthibitisho jipatie gazeti la spotiLeo toleo...
Nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya England David Beckham ambaye kwa sasa anakipiga huko Ufaransa kwenye klabu ya Paris St Germain amekubali kusaini mkataba wa miaka mitano wa kuwa balozi wa...
Baada ya zama za kina Tyson, Holyfield, Lewis kupita heavyweight boxing inaonekana kukosa ule msisimko wa zamani. Mikanda mikubwa 5 yote imekamatwa na wanandugu toka Ukraine kina Klitchko huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.