Lionel Messi ni Muajentina na ni mchezaji wa kulipwa katika klabu bora barani Ulaya ya FC Barcelona, pana shutuma toka upande fulani kuwa Barca haishindi bila Messi sasa huyu ni mchezaji wa...
Lionel Messi ameumia hivi punde akiitumikia FC Barcelona katika mtanange kati yao na Atletico Madrid. Kwakuwa Barcelona walimaliza nafasi za kufanya mabadiliko,wanalazimika kumalizia dakika 20...
Kocha anayeng'atuka wa Man United,Sir Alex Ferguson pamoja na Mrithi wake ambaye ni Kocha wa Everton,Moyes,leo wameshinda katika mechi zao. Matokeo ya leo ni haya:Premier League
FT
Stoke
1-2...
Klabu ya Barcelona jana ilizawadiwa ubingwa wa La Liga na Espanyol waliowabana mbavu Real Madrid jana na kutoka nao sare ya 1-1. Kwa matokeo ya jana ya Real Madrid,Barcelona yaendelea kuongoza...
Sir Alex Ferguson is considering retiring as Manchester United manager before the end of the week, reports the Daily Telegraph's Mark Ogden.
As rumours of the 71-year-old's imminent retirement...
Timu ya Yanga itafafanya sherehe za Ubingwa wa Ligi kuu baada ya kumshikisha adabu Mnyama tarehe 18 mwezi huu pale Makao Makuu ya Yanga mtaa wa Twiga na Jangwani! teh! teh! hizo ni habari za hivi...
Barcelona ndio mabingwa wa la liga 2012-2013
wakiwa wamebakiska michezo 4 jana baada ya real madrid kutoka droo ya 1-1 dhidi espanyol barcelone imewafanya barca kua ndio...
Kwa wapenzi wa arsenal. Alipoondoka
kapteni veira akaenda juventus, kocha
wa juve capello msimu ulo fata akahama,
kapteni thiery henry alipo hamia
barcelona kocha wao franc rijkad mcmu
ulofata...
Kwa wapenzi wa arsenal. Alipoondoka
kapteni veira akaenda juventus, kocha
wa juve capello mcmu ulo fata akahama,
kapteni thiery henry alipo hamia
barcelona kocha wao franc rijkad mcmu
ulofata...
Za kwangu ni hizi......................................sijui wewe
1.Peter Schmeichel (signed from Brondby, 1991)
2.Eric Cantona (signed from Leeds, 1992)3.Roy Keane (signed from Nottingham...
Kumbe Van Persie alimuandikia Wenger barua kabla ya mechi ya marudiano?
ha haaa
Dear Arsene,
Hi Professor,how is North London ?I hope you and the guys are well.
How is the race for fourth...
David Moyes anategemewa kuteuliwa kuwa kocha mpya wa Mancheter United.
Moyes atachukua nafasi ya Sir Alex Ferguson aliyetangaza kustaafu mwishoni mwa msimu huu.
Taarifa rasmi ya kuteuliwa Moyes...
Kuondoka kwa Babu Man U, Chanzo ni Van Persie. Arsene Wenger alilijua hili mapema na aliona ni bora kumkosa Van Persie kuliko Babu kuendelea kuwepo Man U... LOOK AT UR SELF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.