Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
SIMBA na Coastal Union ambazo zimeshikilia ubingwa wa Yanga zimepata siri nzito ya Yanga ambayohuenda wakaitumia kuwadhibiti kwenye mechi mbili zilizosalia ambazo ni muhimu kwa heshima ya Yanga...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni viongozi niliwaona wana msimamo lakini kwa hili la kurudi simba ati kusimamia usajili kwani umeambiwa usipokuwepo simba usajili aufanyiki .umezalilisha na familia kwa kweli naamini atutitaji...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Heri miaka ile ya kina Ronaldo, Redondo na Ronaldinho. UCL sasa inaboa! Ni lini tutawaona tena wachezaji wenye viwango vya uhakika?
2 Reactions
116 Replies
9K Views
ni nusu fainali ya pili ya klabu bingwa barani europa inayozikutanisha timu za unbeaten this season of UCL Borusia Dortmund dhidi ya Real Madrid. Dortmund hawakupewa nafasi kubwa ya kufika hapa...
1 Reactions
309 Replies
16K Views
Watching Indian cricket legend Sachin Tendulkur play is like watching God perform miracles! Another madness from 80's movies, cricket is the essence of life!
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Yani kiujumla spain kapigwa 8-1 na ujeruman. Hakika w2 wa betting wamekula pesa sana ktk gem hizi mbili.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
"Head to head" 25.04.2013 16:00 Ruvu Shooting Vs Simba SC 23.09.2012 Simba SC 2-1 Ruvu Shooting 15.04.2012 Ruvu Shooting 0-1 Simba SC 19.10.2011 Simba SC 2-0 Ruvu Shooting...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika UCL jana nusu fainali kati ya FC Bayern Munich na FC Barcelona imeonesha kuwa Barca hatukuenda kushindana ila kuonesha 'individual skill of players to possess the bal'. Pamoja na fitina za...
0 Reactions
49 Replies
3K Views
Look at these two pictures then compare and contrast the decision made by the FA after each action. Any fairness...!? Any consistence..!? Note: Dont be driven by emotions when commenting...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Liverpool striker luis Suarez banned for ten matches for biting Chelsea defender branislav Ivanovic. Source: sky news
1 Reactions
12 Replies
1K Views
jamani mimi mwenzenu usingizi siupata usiku huu yaani nashindwa kuamini tumekula 4-0 dah kweli mpira unadunda kwa wale wezangu hebu nipeni moyo gem ya marejeo tuna tamaa ya kushinda 5-0 iyo ndio...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Karibu upate updates za uhakika bila chenga. Karibu tujadili. UPDATES. 8 MINUTE Dakika ya 8 Borusia ya funga bao kupitia kwa LEWANDOWSKI. Dortmund v/s Madrid 1-0 UPDATE: 23 MINUTE...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naam draw ya uchezeshaji wa champion league ndo imeisha na results kama zilizopo hapo juu! Barca kama timu huwa hatuogopi tutapangiwa na nani ,ila timu pinzani huanza mashaka tele!!ushahidi ninao...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
ndo nini hivi aloo,...kweli michezo ni burudani tosha si soka tu bali hata vituko vinavyofanyika uwanjani ni burudani..
1 Reactions
25 Replies
5K Views
SIMBA na Coastal Union ambazo zimeshikilia ubingwa wa Yanga zimepata siri nzito ya Yanga ambayohuenda wakaitumia kuwadhibiti kwenye mechi mbili zilizosalia ambazo ni muhimu kwa heshima ya Yanga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesikia hii ni mara ya pili huyu Suarez kung'ata mchezaji wa timu pinzani. Yawezekana huyu jamaa ni Omnivorous si kawaida kwa binadamu kumng'ata mwenzio pasipo ugomvi Hii...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Kama kuna kitu Mmiliki wa team ya Azam FC angependa kitokee ni kwa team yake kutwaa ubingwa wa soka wa nchi hii na kupata fursa ya kuiwakilisha nchi katika michuano ya Club Bingwa Africa. Pamoja...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana usiku barca walijisogeza mbele zaidi kuelekea kuchukua La liga ni baada ya kuichapa Lavante 1 bila tukiwa nyumbani nou camp. Mechi hiyo ambayo kidogo timu pinzani ya lavante ilionyesha...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Football / Soccer Live Scores and Match Results - ESPN FC Utapata update kila dakika ingawa hautaona moja kwa moja
0 Reactions
3 Replies
910 Views
Back
Top Bottom