Kama ilivokuwa kawaida ya timu yoyote ikipangiwa na Barca lazma waanze kutapa tapa au mashabiki wa madrid lazima waiombee dua baya lakn kama unavyojua dua la kuku halimpati mwewe ndo vijana wa...
Celtic retained the Scottish Premier League championship title following a comfortable home victory against Inverness Caledonian Thistle.
Joe Ledley's right-footed drive in the 66th minute was...
haya jama premier league ndiyo hiyo iko ukingoni kuiisha na kabla haijaisha man u ndio tayari kashatangaaza ubingwa kwa kua na point 84 dhidi ya man city 68points na michezo ikiwa imebakia 4 tu...
Huwa siku zote najiuliza kwamba ni timu gani ya ulaya yenye mashabiki wengi zaidi ya nyingine kwa hapa bongo? hivyo basi nimeamua kuanzisha hii thread ili kupata sample ya wapiga kura 500 ambao...
Kanakwamba natania niko srs kama mtapata hata draw morocco ahadi yangu ya furaha kuvua nguo ipo pale oale safari hii itakuwa uwanja wa ndege lkama mtafanikiwa hata draw na hii timu pamja na hayo...
Leopards fans go on rampage at Nyayo Stadium
Security officers attempt to subdue a violent AFC Leopards fan who invaded the pitch during their KPL Top Eight match...
By ANDY JAMES
PUBLISHED: 07:22 EST, 22 April 2013 | UPDATED: 07:22 EST, 22 April 2013
A Kenyan referee is suing the national football federation, saying he was left impotent after a coach...
wadau kama mtakumbuka huyu suarez aliwahi kumtafuna mchezaji mwaka 2010 alipokua ajax, Leo tena kamtafuna Ivanovic wa Chelsea bila aibu kama simba anavyotafuna kitoweo chake.
Leo kwenye majira ya saa 21:45, the Bianconeri tutakua tunalipa kisasi kwa Milan baada ya kutufunga kwa goal moja la penalty ya kupewa mwaka jana pale San Siro.
Ushindi wa leo utaongezea nakshi...
Watanzania wenzangu munaofadhili michezo mbalimbali hapa nchini naomba musiupe kisogo mchezo wa Boxing kwani ni mchezo kama ilivyo michezo mingine kama vile mpira wa miguu, Basketball na n.k...
Vinara wa Ligi Kuu ya Vodacom nchini Tanzania bara na Mabingwa mara 23 wa Ligi Kuu timu ya Young Africans leo jumapili watashuka dimbani kucheza na maafande wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT Ruvu...
Heshima mbele makamanda,leo hapa mkoani geita kuna ufunguzi wa mashindano ya soka vicky kamata cup ambayo yanafunguliwa leo j2 .Lakini cha kushangaza bado hawa magamba wanatumia ile mbinu ya...
Mancini is a failure.
Man city is a good team with a Bad Coach. The Man Mancin Must Go now. Especially kwa kushindwa kusoma mchezo. Wakati Mwenzake anaingiza nguvu mpya kipindi cha pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.