Leo tena michuano ya kombe la shirikisho - vijana wetu Azam FC wanashuka dimbani kucheza na FAR Rabat
(Association des Forces Armées Royales Rabat) ya Morroco.
Wapenzi na wadau wa mpira...
Here is the shy and retiring Premier League manager Paolo Di Canio during his low-key touchline celebrations.
The Italian pulled manic Gangnam-style moves as his Sunderland team thrashed...
Kwa kweli wanasma adui wako muombee mema mi n mmoja wao kuwaombea azam washnde ila kwa mpira huu wa leo jaman loh awa waarabu atutoki;wachezaji wazito kama wamelala guest na mizigo usiku kucha...
Takriban mwezi wa pili sasa sikusikii ukirusha mashambulizi kwa wale unaodai wanawaingilia katika utendaji wenu wa kazi. Je umetishwa? Unanikumbusha wakati uleee wa Rage, alipiga kelele weee...
Sijaona mantiki ya TBC kuonesha mechi hiyo ya AZAM ambayo ni recorded wakati muda huo huo kituo cha Star Tv kikionesha mechi Live ya hao hao AZAM wakicheza na timu ya kigeni tena mechi ya...
iv fainal za mashindano ya kombe la mabara zipo kweli mwaka huu because ni kila baada ya miaka minne kwa kumbukumbu zangu mara ya mwisho kuchezwa ilikuwa june mwaka 2009 south africa.Ambapo...
PFA player of the year
1. Gareth Bale
2. Michael Carrick
3. Luis Suarez
4. Eden Hazard
5. Robin Van Persie
PFA Young player of year award nominees
1. Eden Hazard
2. Gareth Bale
3...
Katika juhudi za mwisho mwisho kabisa za kuelekea kuchukua ndo La liga jana tena barca kama kawaida iliifunga zaragoza 3-0!!magoli hayo ambayo yalifungwa na Tello(2) na Thiago(1) .Mechi hiyo...
Ligi yetu ya soka haina timu nyingi kama tunavoona nchi za wenzetu, sasa inakuwaje timu moja iwe imecheza mechi zaidi ya mbili kuliko timu nyingine? Majuzi kocha wa Toto African ya Mwanza...
habari wana Jf,
kwa mtizamo wangu tu,ningependa mashabiki wa Yanga ambao ni Jf members siku ambayo tutangaza kutwaa uchampion wa ligi kuu ningeomba tuandae sehemu maalumu tukutane hapo ili...
Labda mtueleze ni Ferguson/Wenger style lakini sasa yatosha kwa kumbadilisha kocha wa timu ya soka ya taifa. Kocha huyu hana jipya kwa sasa na tuachane na propaganda yake chovu kuwa kipa anapokuwa...
wapenzi wa mieleka ya WWE,, kwakweli john cena amekwisha pili jamaa hajiamini. ananyanyaswa na the rock mpaka anatia huruma. tena jamaa hatumii silaha ni ubavu wake tu. john cena anajiandaa...
sitaisahau siku, bully ray alipochukua mkanda wa TNA champ kutoka kwa Jeff hardy. alimwambia brook: i screwed you'
hulk hogan: i fooled you.
iam a the presidents of Aces and Eights,
and am the TNA...
Baada ya kuchezwa tangu mwanzoni,sasa zimebaki timu nne za soka kwenye Klabu Bingwa Barani Ulaya-UCL toka ligi kuu mbili tu barani humo:La Liga(Barcelona na Madrid) na Bundesliga(Bayern Munich na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.