Wale mlioshuhudia mpira wa 70s na 80s,na mliomuona sunday manara akicheza,najua kwamba alicheza yanga,pan na uholanzi Heracles, kuna mtu ananiambia nyie awa kina messi ni kama kina sunday enzi...
Thursday, 04 April 2013 17:33Written by Mwandishi wetu
Mchoro wa Uwanja wa kisasa wa Klabu ya
Yanga
Mchoro wa Uwanja wa Kaunda utakavyo kuwa ndani
Dar es Salaam
WAKATI...
Nimesikitishwa sana na kuiona simba pekee katika maelfu ya ordha ya timu za mpira duniani,
nilianza kuongalia club bora duniani ni B/M ya ujerumani man timu yangu ni ya nne
nikaja nchi bora...
Ilikuwa kwenye mechi kati ya Villa squad na Simba. Matokeo yalikuwa Vila 1 Simba 0. Mfungaji alikuwa Nsa. Kumbuka mechi hii ilimalizika Vila wakiwa 8 uwanjani baada ya redcard za ajabu...
Napenda kuwataadharisha viongozi wa Azam FC kuwa wasione wanashangiliwa mno hivi sasa wakajisahau, kumbukeni nchi hii ina virusi viwili katika soka letu navo ni Simba na Yanga. Virusi hivi...
WanaJF forum za Leo!
Leo katika pitapita zangu mitandaoni nime kutana na jina la mchezi wa mlinzi wa timu ya Mamelodi Sundowns ya A. Kusini. Jina lake linaandikwa kama Method mwanjali au mwanjale...
Baada ya jana kushuudia mchezo na Yanga kuibuka na ushindi mnono wa goli 3 - 0 dhidi ya Oljoro JKT,leo tena jioni tutashuhudia mtu na wifi wakimenyana kinafiki uwanja wa Taifa
mara nyingi sana...
Mpira ni wa kasi balaa ila kwa mtazamo wangu ni kwamba Chelsea hapa hawana bahati
Kila la Kheri Man City na copy hii imfikie Saharavoice popote pale alipo!
Yani leo ni siku ya kihistoria sana kuna kitu kitafanyika pale uwanja wa taifa.Kama hujui leo washabiki wa YANGA na SIMBA wote wataungana kumshangilia MNYAMA wa MSIMBAZI pale atakapomenyana na...
Sishangai nikiwa ukumbini kuanzia mashabiki wa Man u,Madrid ndo usiseme,Ase8,PSG,AC Milan,B Munich hadi Mancity wote...wakiwa wanashangilia timu pinzani inayocheza na Barca hata kama hawaijui au...
Ni saa 10.00 taifa.
Leo tunamvua rasmi Simba ubingwa!
Sasa kila mechi tutakayokua tunashinda ya ligi kuu kila mchezaji atalamba 70,000 cash.
Pia mabilionea Abdallah Binkleb na Seif Ahmed...
Mnasemaje kuhusu hii kitu wakuu, huu si ndio mwanzo wa mpira wa miguu kuanza kutumia technology kwenye kila kitu,imeanza kwenye goli,mara itakuja kwenye kuzidi,halafu ipo siku viatu vitatengenezwa...
Mabingwa wa Tanzania Simba inaandaa barua ya kudai fidia ya Sh. bilioni 1.5 toka timu ya Azam kutokana na kitendo cha club hiyo kuwashitaki wachezaji 4( agrei morris, erasto nyoni, said morad na...
Leo tena, itajulikana jinsi zitakavyo chimbika nyasi baada ya Barca kupita kwa bao la ugenini, bilashaka atakumbana na timu kali sana, inayocheza kwa mikakati na malengo ya hali ya juu.
Wadau...
It has been said Jose Mourinho will make Real Madrid midfielder his first signing as Chelsea boss should he return to Stamford Bridge this summer. The German joined Real from Stuttgart in 2010...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.