Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
1. LIVERPOOL is a child who is very proud of the academic achievements of his grandfather. 2. MANCHESTER UNITED is a boy who just performs in the final exams and tops the class. 3...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shirikisho la soka la kimataifa FIFA litamtuma afisa wake anajeshughulikia wanachama bwana Primo Corvaro kuja nchini pamoja na ujumbe wake ili kusikiliza pande zote zinazohusika na mgogoro wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi hii timu yangu ya chelsea washambuliaji wanajitahidi kufunga lakini mabeki wanaruhusu mara mbili yake!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Wow! Matatizo yapo haijalishi ukubwa wa timu. You really made my day boys. At last we did it. Valencia 1 Chelsea 2 Liverpool 0-1 Marseille
0 Reactions
5 Replies
3K Views
1. Peter Tino 2. Said George 3. Joma Pondamali
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Dakika chache zilizopita nikisikiliza kipindi cha michezo Radio One, nimesikia kituko cha mwaka. Ndani ya ardhi ya Zanzibar, mchezo wa Kick Boxing ni marufuku. Waziri wa michezo wa Zanzibar...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Line kama kawaida huku tukiwa na support ya Abidal na kocha wetu akiwa uwanjani TITO Vilanova wote wakiwa wametoka ku recover cancer Inajulikanaga kama kawaida tUkiwa uwanja wa nyumbani huwa...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Monday, April 8, 2013 WAKATI ikiwa imebaki michezo michache kuelekea mwishoni mwa msimu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2012/13, wasimamizi wa ligi hiyo, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Timu ya soka ya Bayern Munich ya Ujerumani,leo imetwaa rasmi kombe la ligi kuu ya nchi hiyo huku zikibaki mechi sita ligi hiyo kuhitimishwa. Hiyo inafuatia ushindi wa leo wa 1-0 dhidi ya Eintracht...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
madrid,,.da!kombe kama linanukia ivi, mi sioni kikwazo ila sijui ni barca vile,?au mnaionaje majembe yangu ya sports,, imekaa vipi apo!?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi haya matatizo ya clabu ya SIMBA yanatokana na na kipi hasaa
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Justin Simfukwe almaarufu kama Nelson Mawazo
0 Reactions
65 Replies
23K Views
Siku moja baada ya shirikisho la soka nchini TFF kubadilisha ratiba ya baadhi ya mechi za ligi kuu ya Tanzania bara ili kuweza kufanikisha mpango wa kuonyesha mechi hizo kupitia kituo cha...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Rais wa kwanza wa Zanzibar na mmoja wa waasisi wa Tanzania marehemu Abeid Aman Karume (Mungu amrehemu) alipenda michezo na katika kudhihirisha hilo yasemekana ndio muwezeshaji wa jengo la klabu ya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
1. Young Chimodzi 2. Beston Chambeshi
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi match ya man u vs man c, kosa lilikuw wapi?
0 Reactions
0 Replies
750 Views
EXCLUSIVE: TAKUKURU YASHINDWA KUTHIBITISHA ERASTO, MORAD, DIDA NA AGGREY MORRIS KUPOKEA RUSHWA TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) iliyokuwa ikifanya uchunguzi wake dhidi ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ilikua ni siku ya 30 katika LA LIGA fc barcelone walifanya mauwaji kwa kuwapiga goli 5 kwa nunge timu ya mallorca katika uwanja wa camp nou
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa klabu ya simba Ndg Rage aliahidi wana msimbazi kuwa watajenga uwanja kwa ajili ya klabu ya simba,akasema kwamba Waturuki bdio watakaojenga uwanja na wakati huo walikua wakifanya...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
tupo pamoja kukuleteeni update kati ya man u na man city live
0 Reactions
136 Replies
7K Views
Back
Top Bottom