Man U na Chelsea zimekutana mara 166 katika mashindano mbalimbali, ambapo Manchester United imeshinda mechi 72, Chelsea (45), na wametoka sare mechi 49.
Chelsea itamkosa kiungo wake Juan Mata...
Wapendwa kuna mh mmija alikuwa mwenyekiti wa simba mh hassan dalali ambae aliondolewa kwa kigezo cha shule;baada ya hapo mzee dalali alianza darasa lka firm one na naamini amemaliza mwakajana kwa...
Yaya Youre anasema ataikacha klabu hyo asipopewa mkataba mpya. Hii ultimatum inatokana baada ya kukwama kwa mazungumzo hayo baada ya miezi sita sasa.
Akiongezea kwa hapo, agent wake, Dimitri...
Leo vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara "Yanga" wanaivaa Polisi Morogoro, kwenyd Uwanja wa Jamhuri, Morogoro katika harakati za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
TIMU YA YANGA:
- Makoye...
Mechi kati ya Bolivia na Argentina ya kufuzu kombe la dunia,iliyochezwa nchini Bolivia katika mji wa La Paz urefu wa mita 4000 kutoka usawa wa bahari ilisababisha wachezaji wa Argentina kuishiwa...
Mabingwa watetezi
Simba, leo wanashuka
kwenye Uwanja wa
CCM Kirumba, Mwanza
kuivaa Toto African (ndugu wa damu na timu ya Yanga) katika mechi ya Ligi kuu ambayo
inatarajiwa kuwa na
ushindani...
Jamani kwa mdau wa Yanga ama Mwana JF yeyote aliyeko uwanja wa taifa atupashe mchezo wa ligi kuu ya Vodacom tanzania Bara kati ya Yanga na Prisons kutoka Mkoani Mbeya.
Wengine Leo tumebanana...
Leo tena timu ya African Lyon inayosuasua (timu nyingine wamezoea kuwaita VIBONDE) leo watakuwa wakisaka pointi tatu mbele ya Coastal Union kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
Kwanza naanza na hili la kutoipongeza timu yetu ya taifa (Taifa Stars). Dhumuni la timu ni kushinda kila mechi dhidi ya timu pinzani kwa lengo la kunyakuwa kombe katika mashindano yoyote, sasa...
Wakati timu ya Taifa ya Soka Tanzania ''Taifa Stars'' ikiendelea kumwagiwa sifa kutokana na ushindi wa juzi dhidi ya Moroko,Serikari imesema itaunda kamati maalum ya kuisaidia timu hiyo ifanye...
katika hali ya kuwasuta mahasidi, Mshambuliaji mwenye uwezo wa ajabu ambaye anaweza kufunga magoli ya aina zote na yenye ladha Super Mario Balotelli hapo jana aliweza kuisaidia klabu yake kipenzi...
Mpira wa Makaratasi ongeleeni kumbukumbu yenu, Naanza kuazima kiatu cha kushoto cha njumu kimeandikwa Maradona na nyengine nakumbuka Belo alikuwa tunampanga akija na mpira wake ule wa vipele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.