Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Tuliambiwa ndio mrithi wa Pele. Ila hajafika hata robo ya Ronaldo Lima au hata robo tatu ya Ronaldinho Gaucho. Kwa mnaojua hesabu za sehemu mnaelewa nani zaidi hapo. Ni wachezaji kama kina Dogo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) amewataka wadau wa mchezo huo kuwa watulivu kwa vile tofauti zilizojitokeza kati ya Shirikisho na Serikali zitamalizwa kwa taratibu za mpira wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
first leg spurs walishinda 3-0 lakini mpaka sasa 90th minute inter wanaongoza 3-0 hivyo agg 3-3, mechi inaweza kwenda extra time
0 Reactions
1 Replies
715 Views
Barça is way ahead in the CL when it comes to possession (69%) and completed passes (84%) Barça is also the clear leader in fair play with a total of 64 fouls committed, an average of only 8 per...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Ukitazama kwa ujumla mchakato wa uchaguzi wa Tff utagundua umejawa na kichefuchefu cha ukiukwaji wa kikatiba kwa muda mrefu. Ifahamike hiki ndicho walichopanda muda mrefu kwa kigezo cha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
tanzania imepanda kwa poits nane na kufanikiwa kufikia nafasi ya 119 ambayo ninafasi ya juu kwa takriban miaka mitano
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mchezaji wa zamani wa timu ya Nigeria, Nwankwo Kanu amepoteza kiasi cha Dola 104 milioni (Sh 166 bilioni za Tanzania) huku mmoja wa watendaji wakuu wa hotel yake akikamatwa na kufikishwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Dear Colleagues.Hi to you alljzeahbujaga@gmail.com It is a responsibility of everyone of us for any true citizen to desire and take action up on a bad situation in our state. I have come to...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Hayo ni maneno mafupi na dhati niliyomwambia mmoja wa watoa thread hapa Jf aliyeapa kuhamia Yanga endapo leo simba tungefungwa na Coastal Union ya Tanga. Nimesema hayo kwa sababu hadi leo sijui...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
La Liga wrap: Messi breaks record in Barcelona win10 March 2013 Bet$5$10$20$50$100 Returns: Barcelona $6.50 Draw $27.50 Milan $45.00 Barcelona forward Lionel Messi broke a world...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Kana kwamba unaweza hisi sinema ya micheline vile nilisema na nitasema huyu tenga sijui wanamsubiria nini jamani na kama anatumia uchawi sie tunatumia nguvu za mungu na soon atangolewa hata kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Fifa wameiandikia TFF azma yao kuiwekea kifungo Tanzania ikiwa 'amri' za serikali kwa TFF hazitafutwa. Nilishangaa kusikia redioni Amos Makala aking'aka kwamba Tenga ndie aliyewaambia FIFA...
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Leo ile Made in Milan Brand inakuja kutia chumvi kwenye Kidonda walichochokonoa kina CR7,Ozil &co, Mtu atapigwa kama amesimama..upo Gang Chomba? Msikose mtanange huu. Forza Milan!
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau, Nimejaribu kufuatilia hili sakata la TFF, kati ya Wizara na TFF nimeona kuna mambo ya kujadili, ukimsikiliza Waziri anadai kua katiba mpya ya TFF imekiuka taratibu na kwa hiyo katiba hiyo...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Napenda kuirejea post yangu kuwa; SIMBA NI TAASISI, JE UNABISHA? Ninapata ujasiri wa kuandika hivi kutokana na kile kilichojiri jana uwanja wa Taifa kati ya simba na costal union. Labda...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Viongozi wawili wa klabu ya Simba -- mmoja wa kuchaguliwa na mwingine wa kuteuliwa -- wamejiuzulu katikati ya wiki huku wakitoka sababu ambazo, tunaona Nipashe, ni za kupotosha. Makamu mwenyekiti...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Husika na chombo cha habari hapo juu mm leo naahidi Barca asiposhinda nameza kisu Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
4 Replies
909 Views
Ukitazama kwa ujumla mchakato wa uchaguzi wa Tff utagundua umejawa na kichefuchefu cha ukiukwaji wa kikatiba kwa muda mrefu. Ifahamike hiki ndicho walichopanda muda mrefu kwa kigezo cha...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
AGIZO LAKE HALITEKELEZEKI -RAIS TENGA SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema ipo haja kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara kufikiria upya uamuzi wake wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Najiuliza na bado naendelea kujiuliza mh amos makalahivi huyu takataka mwingine mliempa jina la msajili kwa nini anaendelea kuwa madarakani?? Kama mjuavyo sakata zima watanzania limeanzia kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom