Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Mie hupenda kusikiliza kipindi cha michezo hasa radio 'Clouds'. Jumapili iliyopita katika kipindi chao cha michezo saa saba mchana walijikita katika uuzaji wa wachezaji na kusangaa kuwa klabu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mgogora uliopo kati ya serikali na TFF umechukua sura mpya baada ya shirikisho la kabumbu dunia(FIFA) kuiandikia barua TFF kusudio la kuifungia Tanzania endapo itathibitika kuwa serikali imekuwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuuliza ipi ni Official Logo ya Club ya Yanga kati ya: Hii Na hii. Naombeni kujuzwa.
0 Reactions
29 Replies
19K Views
Sakata la malumbano yanayoendelea baina ya serikali na TFF KUHUSU KATIBA yanazidi kuchukua nafasi siku hadi siku....sielewe TFF inataka nini? na inatoa wapi huu musuli wa kuichezea serikali hii...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Mimi mwenzenu wikiendi ya soka ilikuwa ni kicheko tu.... 1) Yanga 1 Toto 0 (chachandu yake Azam 1 Polisi 1) 2) Liverpool 3 T Spurs 2 (within 7 pts kuingia kwenye top 4) 3) Suarez...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Full Moon Tisha-TOTO punainen-red Asprin Mbata Kiula Na wadau wengine wa Club nategemea uwepo wenu kama kawa ila hakika shughuli ndiyo hapo!
4 Reactions
20 Replies
3K Views
MODS sijui kwa nini mliiondoa post yangu ya awali. Kama tunapiga kelele juu ya freedom of expression humu jamvini lakini tunashindwa kuipractise (failing to walk the talk), hiyo ni double standard...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Hay wanamichezo wenzangu bado mko fiti hakuna aliyejidhurukwa chochote kilichotokea jana. maana usiombe ardhi itokeze nje mambo ya jana yaliyokuwa ya aina yake pale mtu mzima anayejidai na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hebu mcheck ESSION Wacheki na hawa Na hawa pia
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Kadi nyekundu aliyopewa Luis Nani katika mchezo dhidi ya Real Madrid ilikuwa nongwa. Manchester walichapwa 2-1 nyumbani kwao Old Trafford na kutupwa nje ya Michuano ya Klabu Bingwa Barani Ulaya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mabingwa watetezi Simba, leo wanashuka kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwakabili Coastal Union katika mechi ya Ligi kuu ambayo inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwani Simba watakuwa...
0 Reactions
84 Replies
6K Views
Mechi ya leo 10/3/2013 kati ya Simba Vs Coastal union na Simba kushinda 2-1 NADHANI KUNA SOMO FULANI AMBALO TUNAWEZA KUJIFUNZA. Sizungumzii kupongeza ushindi bali nataka kuzungumzia aina ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wekundu wa msimbaz wamezuiwa kutoka kwenye hotel ya Sapphire court ya kkoo had walipe deni,Simba walikua wanatoka kwenda kuwavaa coastal union. Viongoz wanahaha kuitoa timu iwah mechi...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
dakika ya 11 rooney anaandika bao la pili la kwanza kafunga chacharito
0 Reactions
10 Replies
1K Views
maana tumechoka kipigo!
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Chelsea hoi kwa man utd na bado mpira mapunziko yaan manu rahaa sana!
0 Reactions
0 Replies
821 Views
mwaka jana tulijionea wote red card ya vincent company baada ya sliding tackle kwa louis nani (the irony.. yeye ndo kala card this time round :smile-big: ) na penalty juu katika michuano ya FA 3rd...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamani mlio uwanjani hebu tuleeteeni matokeo tujue na leo tunalia au!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Man Utd baada ya kufungwa na Madrid nyumban, leo hii tunapunguza machungu yetu kwa chelsea. Kwa kuwa refa mwenyewe ni wetu bhas tunauhakika wa kupatd penalt kama mbili. Chelsea mpoo!
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Huyu jamaa angekua kule kwetu wengi wangesema anatumia juju!! Hopkins Creates More Boxing History The Old Master Beats Cloud, Bernard Hopkins proved yet again that age is just a...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Back
Top Bottom