Kwa maoni yangu namfikiria Michael Ludrup wa Swanswea city, hii ni kutokana na style yake ya mpira anaofundisha.
Naomba tu base sana kwa makocha wanaofundisha EPL sababu najua wanauzoefu na...
Huu ni uwanja wa majimaji hapa ni mechi kati ya majimaji na JKT mlale. Timu kubwa tumieni uwanja huu mapato yake yanaridhisha ukilinganisha na viwanja vingine kwa mashindano haya ya ligi daraja la...
Huwa najiuliza nini hatuna ambacho kinatufanya tushindwe kushiriki kombe la dunia?je tatizo ni kukosa vipaj au uwekezaj duni katka soka au tatizo ni uongozi.nini hatuna katika hili?wana jf naomba...
Wajameni Chama letu la Jiji la MWANZA LIANELEKEA KUSHUKA DARAJA please toa mchango wako juu ya nini cha kufanya kuisaidia timu letu liisshuke.Na ikinusulika toa mchango wako wa mali na hali ili...
Baada ya kumpa Ronaldinho Gaucho nafasi nyingine ya kuuonyesha Ulimwengu kile alichokionyesha kwenye medhi dhidi ya Uingereza kwenye Kombe la Dunia la 2002, Kocha Philipe Scolari almaarufu kama...
Nimepokea kwa furaha kuu kujiuzuru kwnu... uamuzi huu mmechelesana kuuchukua...
Mmekuja simba na kupewa uongozi nyadhifa kubwa bila kuwachunguza kama kweli mlistahili nyadhifa hizo au ni...
kuna sehem kqwnyw baibo anasema ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo;;;LEO NAMSIKIA KOCHA MSAIDIZI WA SIMBA JULIO KUJIFANANISHA NA TAULO LA HOTELINI KILA MTU ANAFUTIA HATA AWE CHIZI;JULIO...
Former Manchester United captain Roy Keane
believes referee Cuneyt Cakir "made the right
call" when he sent off Nani in Tuesday night's
Champions League battle with Real Madrid at Old...
Mwenyekiti wa kamati ya usajili na Friends of Simba Zacharia Pope,amejiuzulu vyeo vyote Msimbazi.Naona bundi ndio anaanza kulia kwa wazee wa libolo.
source:bin zuberyblog
habari bandugu zaidi ya yote ritz na zomba napenda mpate taarifa mimi ni mpenzi mkubwa wa yanga tangu 1981. ila niliamua kuihama yanga na kuhamia azam kwa ajili tu ya rangi zao maamuzi haya...
siku moja nikiwa katika stendi ya mabasi nyegezi mwanza kumpokea mgeni pale tulikuwa vijana wanne mm nikiwa shabiki wa arsenal na mwingine wa man u halafu wale wawili wakasema hivi mmoja mm...
Lets Make a deal.
nadhan wengi wetu kama si wote tunakumbuka ile timu iliyowafunga simba kwenye klabu bingwa Africa inataka isajili.je uko tayari kuchezea LIBOLO, kama uko tayari kuchezea...
Wakuu nipo leo uwanjani hapo kuwaletea matukio yote yatakayojiri katika 90dk zote.
Mpaka sasa timu zote zimeshaingia uwanjani na mpira umeshaanza huku matokeo yakiwa bila bila.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.