Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
kiukweli kwa kiwango walichonesha jana man utd dhidi ya madrid ninahuhakika chelsea achomoki tena tukitumia mfumo uleule wa jana, maana hata kama wametolewa mi binafsi naona walicheza vizuri tu!
0 Reactions
1 Replies
992 Views
Akijifaliji na familia yake, baada ya kichapo kutoka madrid. . . . lets enjoy the photo. . .
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wa JF samahani kama nitawakwaza wengi hasa wapenzi wa Timu ya Simba. Nimesikia leo asubuhi kuwa Uongozi wa Timu ya Soka ya Simba wamekata Rufaa dhidi ya hii timu yenye jina linalotamkika...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Manchester utd - real madrid agg: 1-1 sir alex ferguson amesema hajutii magoli mengi waliyokosa mechi iliyopita bernabeu, mimi pia naamin manchester utd itapata ushindi mzito na kikosi chake...
0 Reactions
76 Replies
5K Views
samahan wadau hv kwa sisi ambao tuna local dish mechi ya leo ya man utd na madrid tutaiona wap
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndugu watani,mjini hakuwafai tena...bora mkale swala huko serengeti maana ndo mnapostahili.Mjini wanakaa wanaume wa shoka wanaoweza kupambana na Libolo na wakalishinda
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Arsenal=Liverpool,tuwasahau na kuwaondoa kwenye "big four",anayefuata kutolewa kwenye big four ni mgonjwa mahututi Chelsea....maana anaelekea kuwa kama Swansea ama QPR...sasa hivi kuna big two...
0 Reactions
3 Replies
945 Views
Mpira wetu katika sekta ya uongozi uliokwisha muda wake umeingia katika mzozo ambao kama hawatakaa chini huenda tukafikia pabaya na hii ni kwa sababu tu ya kuleta siasi sarakasi katika katiba ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jordan at 50: A celebration of ruthlessness By David Aldridge, Special to CNN updated 12:04 PM EST, Fri February 15, 2013 Michael Jordan of the Chicago Bulls hugs the NBA Championship Trophy...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Kila zama zina mwisho wake. Barcelona wamefungwa tena na Madrid.Madrid iliwapumzisha nyota wake wengi sana. Ikaja kuwaingiza dakika za mwisho.Benzema na Ramos wamefunga kwa upande wa Madrid...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Wanajamii ni kweli kama simba sc ingefanikiwa kuifunga LIBOLO YA ANGOLA ingekutana na CHIPUMBU ya Msumbiji?
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Simba aka RIBORO: Wamenyukwa na Libolo,Mtibwa na Libolo tena Barca: Wamenyukwa na AC Milan na Real mara 2 Arsenali: Wamenyukwa na Blackburn,Bradford na Spuds Hizo ni mechi za hivi karibuni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapenzi wa simba kama nilivyowapa moyo nauliza tena kuna anaeperform 100 perc kila siku kwenye ndoa KITANDAN? Kama sio kwa nini wachezaji wa simba?nao ni binadamu kama kwenye ndoa mnamalizana...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Yafungwa tena Angola. Yatupwa nje kwa aibu Klabu Bingwa Afrika. Yametimia...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Ndugu zangu wana JAMVI. Moja ya vigezo vya kuteuliwa kugombea nafasi ya urais TFF ni uzoezi wa kuongoza mpira usiopungua miaka 5. Naomba mniambie huyu MALINZI huo uzoefu aliupata wapi? Uongozi...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
jamani simba kunani tena!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Timu ya Simba imeondoka asubuhi leo saa 10 alfajiri kuelekea Angola kwa mechi ya marudiano dhidi ya wababe wao LIBOLO itakayofanyika Jumapili kwa Mujibu wa vyanzo vinavyoaminika. Kinacho...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu wadmau wa michezo,mi ni mdau mkubwa wa mpira wa miguu na nimecheza na kuishi sehemu mbalimbali hapa nchini tanzania. Kuna kitu cha ajabu nilichokikuta na kinachoendelea hapa wilayani...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Nianze kwa kutoa pole kwa wapenzi, mashabiki na wananchama wenzangu wa Simba, kimsingi yaliyotokea jana si mazuri kwa wapenda soka wote duniani kwani hakuna anayejiandaa kupoteza mechi ktk...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wadmau wa michezo,mi ni mdau mkubwa wa mpira wa miguu na nimecheza na kuishi sehemu mbalimbali hapa nchini tanzania. Kuna kitu cha ajabu nilichokikuta na kinachoendelea hapa wilayani...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Back
Top Bottom