Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Borcelona 1 - 3 real madrid hawa barca wameshakuwa ma - zombie sasa nataman tukutane nao tulipize kisasi....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taarifa zilizotufikia kutoka kwa wadau ni kuwa mhe. Waziri mwenye dhamana ya michezo ameagiza tff ifanye uchaguzi kwa kutumia katiba ya 2006. Tunachokiona; siasa ikiingilia michezo fifa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi! Another dissapointment for Zim lads, as they lose ODI series against West Indies. Since, their comeback in test cricket, It was expected that they would rise above waters. But now they seems...
0 Reactions
0 Replies
521 Views
ukiskia kwenye msafara wa mamba na kenge wamo ndio hii, timu ya mpira wa miguu ya jijini mwanza toto africa, ipo katika hati hati ya kushuka daraja, wachezaji wana miezi kazaa neno mshahara kwao...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Scoring twice against FC Bakwalona to win 4-2 on aggregate in spanish copa del rey
0 Reactions
3 Replies
1K Views
man utd inaweza kufanya maajabu mcimu huu kwa kuchukua makombe matatu kama mwaka 1999 au treble ,man utd ndo timu pekee nchini uingereza kuchukua makombe3 ndan ya mcimu mmoja na wana nafac ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
manjis army
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mtanange huu utapigwa muda mfupi ujao kwa ratiba ya hapa kwetu ni saa 22:45 na tunategemea mechi itakuwa swaaafi kabisa! Kama nitatoweka hewani bila sha itakuwa siyo kusudi langu bali ni chaji...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Kocha wa REAL MADRID AMEOMBA MASHABIKI WAMWACHIE REFA AFANYE KAZI YAKE ASIINGILIWE ;AMEAHDI KUONYESHA MPIRA MZURI NA NA FURAHA KWA SHABIKI WA REAL
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mzunguko wa kwanza: Mtibwa sugar FC2-0Simba FC. Nafatilia vikosi ntakujulisheni,maana naona mashabiki wa mnyama wamenyuti kuanzisha uzi kana kwamba hawajui kifuatacho!
1 Reactions
238 Replies
19K Views
Amakweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Leo RFA katika taarifa ya habari ya saa sita u nusu nilisangaa kusikisia mtangazaji akisema DB katoa pasi iliyozaa goli katika mchezo wa timu yake...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Taarifa zilizotufikia kutoka kwa wadau ni kuwa mhe. Waziri mwenye dhamana ya michezo ameagiza TFF ifanye uchaguzi kwa kutumia katiba ya 2006. Tunachokiona; siasa ikiingilia michezo FIFA...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
TFF iipata sifa chini ya Tenga kiutendaji lakini imechafuka dakika za mwisho kwa kutengeneza kanuni zinazolenga kuwaengua watu fulani na kuwabeba watu fulani kwenye uchaguzi wa viongozi wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SERIKALI imeingilia kati sakata la uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kuamuru kufutwa kwa katiba ya sasa ya shirikisho hilo na badala yake kuamuru itumike katiba ya zamani (mwaka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
RAGE: nijiuzulu kwani mimi nacheza namba ngapi uwanjani? Wanachama ndio walionichagua tena kwa kura nyingi, sasa iweje niondoke katika kipindi hiki tena timu ikitakiwa kwenda Angola na huku...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
REVEALED:KIKULACHO KINGUONI MWAKO, KINACHOITAFUNA SIMBA HIKI HAPA-PART 1 Mwenyekiti wa FRIENDS OF SIMBA, Zacharia Hanspope SIKU KADHAA ZILIZOPITA ALIYEKUWA KOCHA WA SIMBA SC, MSERBIA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa kweli mnasababisha tuonekane Watu tusiokuwa na amani kila tuendako... tUNAONYESHWA "LIBOLO" Matatizo mnayatafuta wenyewe viongozi..... kisa na mkasa cha kumuondoa Milovan ni nini? Mnaruka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Line ups UDINESE: Padelli Danilo Domizzi Benatia Badu Pereyra Allan Pasquale Dusan Basta Di Natale Muriel NAPOLI: De Sanctic Cannavaro Britos Armando Inler Behrami Armero Mesto Cavani Insigne Hamsik
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Kama kuna laana inayoendelea nchini ni mchezo mchafu wa hongo wakati azam ikilalamika yanga kumekucha pale mchezaji wa azam "a.salum aka sure boy...alipotumwa kutoa hela kadhaa kwa mbuyi yondan na...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
SUNDAY, FEBRUARY 24, 2013 Mechi namba 120 ya Ligi Kuu ya Vodacom iliyochezwa jana (Februari 23 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kumalizika kwa Yanga kuibuka ushindi wa bao...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom