Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Leo tena!!!! Wababe wawili wa Ligi Kuu nchi Hispania wanakutana tena katika mechi ya Marudiano ya La Liga ikiwa ni siku chache tangu Real Madrid walipoifunga Barcelona magoli 3-1 kwenye nusu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wengi wetu tunamfahamu huyu jamaa kwa vituko vya uwanjani na kwa namna ya uchezaji wake. Kila linapotajwa jina la Maradona, watu akili zao huelekea kwenye soka. Lakini huyu Maradona ana makubwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
1.Said salim Bhakressa ni mmiliki wa Azam sports club,anakadiriwa kuwa na utajiri unaofikia dola milioni 600 za kimarekani. 2.Regnald Abraham Mengi Huyu aliwahi kuwa mdhamini wa Dar es Salaam...
0 Reactions
8 Replies
15K Views
Ni aibu kubwa sana kwa jiji la mwanza tukikosa hata timu moja ya kushiriki ligi kuu, hii inatokana na nfumo mbovu wa uongozi amboa unahitikadi za u-ilemela na u-nyamagana, pia mfumo mbovu wa...
1 Reactions
5 Replies
928 Views
Lionel Messi
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ijumaa na Jumamosi ijayo,timu nne za juu katika Serie A zitaingia vitani kusaka alama za ushindi. Wa kwanza atapambana na wa pili;wa tatu na wa nne.Mambo yatakuwa hivi: Fri 01/03/13...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Baada ya jana kutoka sare ya 2-2 na Sevilla na hivyo kushinda kwa jumla ya mabao 4-3,timu ya Atletico Madrid imeweka miadi ya kupambana na Real Madrid katika fainali ya Kombe la Mfalme la Hispania...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Juzi nimepita pale kabuni na nikasikitishwa sana na hali tuliyonayo na makundi yaliyo oongezeka pale ..lakini mkitaka kujua nani aliiua mpira wa miguu Tanzania na aliyepeleka kua vilabu kama Pan...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Vikosi. Azam:wenyeji 1.Mwadini Ally 2.Himid Mao 3.Malika Ndeule 4.David Mwantika 5.Joackins Atudo 6.Kipre Balou 7.Hamphrey Mieno 8.Aboubakary Salum 9.John Bocco 10.Kipre Tchetche...
2 Reactions
315 Replies
20K Views
Rafael Benitez has angrily confirmed that he will leave Chelsea in May and described the decision to give him the title "interim manager" as a "massive mistake". He said: "Chelsea gave me the...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Juan Mata,Santi Cazorla na David Silva....hawa ni wachezaji wenye asili ya hispania wanaocheza mpira katika vilabu vya Chelsea,Arsenal na Man city respectively nchini uingereza.Hawa wote...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Hata hasipopewa tuzo ronaldo ni nouma tena namba anayocheza ni ngumu kutoka winga hadi kuwaforwad cyomchezo,anarekodi ya kufunga magoli magumu tena anajituma kwa juhudi na maarifa je nani kama...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Tangu kuanza kwa ligi kuu ya vodacom Tanzania bara Yanga imecheza takribani mechi tatu za ugenini(nisahihishwe kama nimekosea),katika mechi hizo kafungwa mechi mbili(Mtibwa na Kagera sugar) na...
3 Reactions
68 Replies
7K Views
Tutatokea katika hotel ya TANSOMA hotel! Kikosi cha Yanga. 1.Ally Mustafa(Barthez) 2.Mbuyu Twite(maicon) 3.Oscar Joshua 4.Nadir Ally (Cannavaro) 5.Kelvin Yondan(Vidic) 6.Athuman Idd...
0 Reactions
128 Replies
11K Views
naangalia taarifa ya habari ya star tv sasa hivi.mtangazaji ametaja matokeo ya mechi za ligi kuu zilizochezwa leo hii lakini mechi ya yanga na kagera haikutajwa kabisa. STAR TV ACHENI UPUUZI!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kauli hiyo kaitoa msemaji wa klabu! Mpira pesa kupigiwa magoti. Kila kitu kuwekwa wazi. Kuondoka ijumaa kumfuata mwandani(bwana)ake'LIBOLO'
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ha ha hawa Barca vipi hawana mtaala kabisa messi wapi?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Je mkanda wa WWE mpya na wa zamani upi mkali
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tommorow's El-classico tie between Barcelona and Real Madrid at Santiago Bernabeu will be crucial to each of the teams and mostly for Real Madrid.. Real Madrid are 15 points behind Barcelona in la...
1 Reactions
132 Replies
9K Views
Barcelona imekubali kichapo cha mabao 3-1 dhidi ya realmadrid,cristiano akitupia goli mbili huku goli lingine likifungwa na beki chipukizi wa ufaransa rafael varane hivyo kuiwezesha real madrid...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Back
Top Bottom