Arsenal inaingia Dimbani leo kupambana na ngoma ngumu barani Uropa yaani Bayern Munich kutoka Bavaria Ujerumani.
Arsenal ikiwa na kumbukumbu mbaaya zaidi kwa kutolibeba kombe la klabu Bingwa...
Simba yapokewa na libolo tayari kabisa kwa kutawanishwa. Libolo wako fiti kuakikisha simba afurukuti. Mpaka sasa simba wana kichefu chefu kwa kipigo walichokipata. Inasemekena mashabiki wa simba...
Kulingana na habari za leo jumapili katika Magazeti ya Telegraph na The Sun, kikundi cha wawekezaji cha watu wa Mashariki ya mbali kiko mbioni kuweka rekodi ya dunia katika mpira wa miguu kwa...
Azam imesonga mbele Kombe la Shirikisho kwa kuichapa Al Nasri kwa mabao 5-0, huku Simba na Jamhuri ya Pemba zikiogelea vipigo visivyoweza kusahaulika katika michuano ya katika Ligi ya Mabingwa...
Nimefurahi kumuona huyu jamaa hatimaye kwa mara ya kwanza akicheza huu mpira wa Kikapu.
Kaza kiatu Mdogo wetu na hii ndiyo tulikuwa tunakuombea kila siku ufanikiwe.
Ni furaha kukuona Mbongo...
Ni wazi kuwa timu ya simba toka nchini Tanzania ilizidiwa sana kimchezo leo hadi kuzabwa magoli 4 bila ya afadhali. kama mtanzania imeniuma sana lakini nimeumia zaidi kusikia kuwa kama ingepita...
Barcelonno imeonekana imekosa sera mpya ndo maana wanafungwa na Real Madrid ambayo inaelekea kufuta uteja toka kwa mahasimu wao kwani wameonekana wanamtagemea sana lionel messi ambaye...
hii biashara ya sport betting,inayofanywa na wahindi hususani ktk jiji la dsm,imeshika kasi sana!yaani ktk mabanda ya kuonyeshea mipira/video unakuta kuna mashine kama 2,bado mitaani,utakuta kama...
Barcelona will not play for a goalless draw in Tuesday's Spanish Cup semifinal return with Real Madrid even though it would be enough after stalemate in the opening leg, assistant coach Jordi...
Kadi nyekundu kuanza halafu inafuta ya njano!? Ni katika mechi ya leo kati ya Barca na Real Madrid.Ni kadi alizopewa golikipa Victor Valdes.Kisoka hii inaruhusiwa?
FT
Real Madrid [2 - 1]...
Sasa sio BIG FOUR tena ni BIG SIX
1.Manchester United
2.Manchester City
3.Chelsea
4.Arsenal
5.Tottenham
6.Liverpool(hapa sina uhakika kama liv ana safa za kuitwa "big"
SPAIN
1.Real...
Ndugu wapendwa;;;nawiwa kujiuliza hivi clouds fm upande wa michezo ni shaffii dauda pekeee mbona anawabania wenzake hiv;nasema hivi kumaanisha amekuwa akiwasilisha clouds fm sehmu mbali mbali za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.