Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...
Mabingwa wa kusakata kandanda ukanda mzima wa Africa Mashariki Dar Young Africans almaaruf kama Yanga hivi sasa wapo Kigali kuitikia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo Paul Kagame. Habari...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
*Ubinafsi wa viongozi kikwazo cha kukuza michezo *Watoto wenye vipaji waishia kwenye ulevi na ngono Michezo ya 30 ya Olimpiki imeanza kutimua vumbi jijini London, ikikusanya vipaji vya aina...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Kapchorwa, found in Eastern Uganda at the base of Mt. Elgon, is not endowed with that many nationally recognized natural or historical attractions. But the whole place called Kapchorwa district is...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Michezo ya Kimataifa kama Olimpic na mingineyo huwa inabeba Utaifa na ni njia mojawapo ya kulitangaza taifa pia kulijengea heshima. Katika michezo iliyopita ya London, jirani zetu Kenya...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
The nominees are, Iniesta, Messi and Ronaldo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii ni kauli atakayorudi nayo jk akirudi kutoka kwenye mazishi ya Zenawi. Watanzania tu watu wa ajabu sana, tunaweza hata kugombania samadi na kuacha dhahabu!! Nahisi hata Mungu hajishughulishi...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Jamani mbona Yanga wanatuonea hivi? Jamaa wanataka sifa sana. Yaani pamoja na fedha zao, kila siku Yanga wanaona waishi kwa mgongo wetu sisi simba na mbaya zaidi viongozi wetu hawatoi maelezo ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kiwanja kipo JKT mbweni njia ya kuelekea ndege beach metre square 1394, document zote zipo. tuwasiliane 0714 37 14 41
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hongereni sana man united kwa kuanza ligi. na hongera kwa kumpata mfungaji bora wa ligi msimu uliopita RVP
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. South Africa (hawa tuliwapigania kupata uhuru wa kweli) 2. Ethiopia (hawa wana laana ya kumpindua mfalme selasie jah) 3. Kenya (Nyerere aliwaita Nyang'au) 4. Tunisia (walitibuana juzujuzi) 5...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Kenya's capital Nairobi is planning to bid for the 2024 Olympics and become the first African city to host the Games, the prime minister said on Wednesday."Kenyan Prime Minister Raila Odinga...
1 Reactions
134 Replies
16K Views
To hear and read Kenyan sports commentators you might think, if you are Tanzanian, that they are making fun of you and your country’s performance at the recently concluded London Olympics...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Real madrid tunaongoza 1-0,kafunga Higuain dakika ya 10,mpira ni dakika ya 39 kipindi cha kwanza.
0 Reactions
18 Replies
1K Views
AFC-Yanga friendly canceled AFC trip to Tanzania canceled. (Photo: Rodgers Eshitemi/Futaa.com) AFC Leopards’ friendly match with Tanzanian Premier League giants Yanga FC, scheduled...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
dakika ya 3 gori 2, mpaka mwisho cjui itakuwaje?
0 Reactions
1 Replies
914 Views
jamani hebu tuongee kuhusu hawa viongezi wetu wa kitanzania, vijana wa simba leo wameikung'uta mtibwa sugar 4_ 0,huku wakiinyesha soka la hali ya juu! Hivi kuna ulazima wa viongoz kama hawa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna habari kwamba Waziri Mkuu aliyejiuzuru nafasi hiyo kutokana na kashfa ya mkataba tata wa Richmond, Edward Lowasa anajiandaa kuwekeza katika klabu ya Yanga kupitia kwa mwenyekiti wa klabu hiyo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wadau mlio uwanjani au mnaoskiliza mpira, wengine tupo mbali tunaomba updates za fainali ya super8
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza, Mheshimiwa Peter Kallaghe (kulia) akizungumza na baadhi ya wadau wa Michezo aliowaalika ubalozini hapo wakati wa kuiga timu ya Tanzania ya Olimpiki. Msosi wa...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Amepanic baada ya kuambiwa kamati ya toc ijiuzulu kutokana na kufanya vibaya kwa timu yetu iliyoshiriki mashindano ya olimpic 2012 london.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom