Nimeudhishwa sana na kitendo cha kitapeli na kisichokuwa cha kiuanamichezo kilichofanywa na mchezaji MBUYU TWITE wa APR ya Rwanda. Mchezaji huyu alisajiliwa na Simba SC kutoka APR, lakini katika...
Hakyanani tutaua mtu mwaka huu.Lazima tuunde mid-field moja ya hatari saana.Tumemtwaa kwa 42million,atavaa jezi namba 19 na tumempa mkataba wa miaka mitano(5).karibu sana jembe Modric.
Katika siku za karibuni kuwekuwepo hoja kuwa jina la timu yetu ya Taifa libadilishwe, hii inatokana na wadau wengi wa michezo kuhoji kwanini tusiwe na jina linaloakisi baadhi ya rasilimali zetu au...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakata Mrisho Kikwete amewapa mwaliko mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati mara mbili mfululizo, Yanga SC kupeleka Kombe lao Ikulu.
Mwenyekiti wa klabu ya...
Wanajamii tafadhali naomba kujua sehemu ambayo kuna gym nzuri kuanzia maeneo ya Ubungo na KIMARA na malipo ni kiasi gani kwa mwezi au kwa siku. Natanguliza shukrani zangu.
Wednesday, 22 August 2012 12:33
Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub (kulia) akiwa na Kombe la Kagame mkononi pamoja na Shadrack Nsajigwa wakiingia ndani ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu...
Mo Farah becomes father to twin girlsDouble gold medal winner's wife, Tania, gives birth just under two weeks after Farah won his second Olympic title...
YANGA WAWEKA MASHADA YA MAUA KWENYE MAKABURI YA MAUAJI YA KIMBARI YA 1994-RWANDA
Mwenyekiti wa timu ya Yanga, Yusuph Manji (kulia) Mama Karume (katikati) na baadhi ya viongozi wa timu hiyo...
Dirk Nowitzki marries his Kenyan native wife--in Kenya
NBA Star Dirt Nowitzki of the Dallas Mavericks and Jessica Olsson were married over the weekend in Kenya, Africa. Jessica is born of a...
Hii ni kali nyingine ya Viongozi wa Simba.
Wakati dirisha la usajili likifungwa juzi,imethibitika kuna majina yame'appear kwenye team zaidi ya moja,1 wapo ya majina hayo ni la Kelvin Yondani...
Huyu ni kiongozi makini na anayejua kukumbuka asili yake ya upenzi wa soka. Hajali lawama za watu hasa pale alifanyalo linamfurahisha mwenyewe na wananchi aliokuwa anawaongoza kabla ya kumuiga...
BLock lesnar DEFEAT Triple H. Cm punk DEFEAT John Cena and Big show for wwe champion .Sheamus DETEAT Alberto delio.The miz DEFEAT Rey my sterio. Antonin DEFEAT Santino molera .Chirs Jericho DEFEAT...
Nilifikiria kuwa Mzee wa Bastola ana matatizo ya kuwadanganya wadau(wapenzi na wanachama) wa Simba tu, kumbe hata kwenye nyanja nyingine,My GOD....
Kauli yake ya kuwaambia Uma wa wapiga kura wa...
Mwenyekiti wa yanga fc amesema wanaelekea Rwanda kuitikia mwaliko wa Rais wa Rwanda Paul kagame,na amesema wakiwa huko wataweka kambi ikiwa pamoja na kufungua Tawi la yanga nchini Rwanda kwa...
SAT 25 AUG 2012 - PREMIER LEAGUE
SwanseavWest Ham12:45
Aston VillavEverton15:00
Man UtdvFulham15:00
NorwichvQPR15:00
SouthamptonvWigan15:00
SunderlandvReading15:00
TottenhamvWest Brom15:00...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.