JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimekuwa nikifuatilia haya mashindano ya miss chit chat nashangaa sana sijawahi kuona mshiriki toka Arusha hata mara moja...imeniboa sana kila siku Dar au kwa kuwa mwendeshaji ni wa Dar? Au...
1 Reactions
126 Replies
5K Views
Ni muda mrefu sasa umepita sijamuona kabisa kongosho, sijaona aki reply uzi wowote na wala sijamuona aki hang hang popte. Ni yapi yamemsibu? Au amepigwa bani? Wajameni kama kuna mtu amemuona...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Jamaa alifumaniwa akakimbilia kwenye daladala akiwa kama alivyozaliwa. Konda akawa anamshangaa!!!!!!! jamaa akamuuliza konda "unashangaa nini?" Konda; sishangai uchi wako, ila najiuliza nauli yako...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
No english dictionary has been able to explain the difference between the two words,"complete and finished"some people say there is no difference between complete and finished,but there is,when...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mwaka 2013 eti ni mwisho wa dunia.tetesi kutoka sehemu mbali mbali
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habarini za leo ndugu zangu! PESA INA MAJINA MENGI! kwenye ibada inaitwa sadaka, msibani inaitwa rambi rambi, shuleni inaitwa ada au karo, kwenye vyombo vya usafiri inaitwa nauli, ukinunulia haki...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
---Paka Jimmy na Faiza Foxy ndani ya Penzi zito: wenyewe wasema tofauti za kisiasa zisiwatenganishe ---Zinduna aapa kumtoa busha Bishanga, ni baada ya Bishanga kuzinasa picha za Zinduna akila...
5 Reactions
79 Replies
5K Views
BOY: Baibe, i know i did u wrong but i just ask 4 ua forgiveness.... GAL:[message seen] 3minutes ago. BOY: Hunnie, pliz just forgive me... am a human being and am not perfect neither are...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Salamu wakubwa, Mumeamukaje?? Kitu cha kufurahia na kumshukuru Mungu. Hapa bhana nimejifunza mengii saana pia nimeweza kuelewa mambo yanaendaje. Nikianza na shukrani kwa FOUNDERS nawapa big...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
i thank god i did the following 1. I lived 2 decades(1990-2012) 2. I survived 2 centuries(1900-2000) 3.i have seen 2 millenium(1000-2000)...happy twenties.,..we rock ...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Dushelele is the most dangerous creature it bites mostly women below their abdomen and cause their stomach to become bigger for about nine months. So Girls be careful. source: unknown.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Heshima kwenu wana jamvi.. Hapa nilipo nina hasira mbaya na Mkenya mmoja hivi senior manager wangu.. Nimecheki account jana nikagundua mimi nimepata bonous kidogo sana kuliko kawaida ( yaani...
0 Reactions
13 Replies
978 Views
.
0 Reactions
1 Replies
609 Views
Nimechoka na mashitaka! Asprin ukiendelea nitamruhusu marejesho aweke hazarani PM unazomsumbua nazo!..Mwache mke wa mwenzio apumuweee!!! Jamani mi kila siku mashitaka yako tu, leo kaja Filipo...
10 Reactions
121 Replies
6K Views
I love Arusha So Mmmwaahhhh...!!!!!!! Wana Jf wa AraChuga Wing Nipokeeni...!!!!!!! Natia timu Kujiandaa na Safari ya Tanga. Arushaone, Filipo, Lily Flower, Mungi, Erickb52, PakaJimmy...
7 Reactions
293 Replies
11K Views
Mwalimu wa Historia, "Eeeenhee Wanafunzi, hivi ni nani alimuua Dedan Kimathi?" Mwanafunzi wa Kwanza, "Aki sio Mimi!!" Mwanafunzi wa Pili, "Walahi sihusiki hata kidogo!!" Mwanafunzi wa Tatu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
menzenu Timbolo simuelewagi kabisaa hata nyimbo yake ikipigwa club huwa natoka nje wenzangu msanii gani hamumuelewagi?
0 Reactions
29 Replies
5K Views
(MWALIMU):Wanafunzi nitajieni kiumbe anayeweza kuishi majini na nchi kavu. (TOM):Chura! (MWALIMU):Safi sana Tom,enhee!nitajie kiumbe mwingine! (TOM):Chura mwingine!
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Miaka ijayo ibada zitakuwa hv mchungaji:bhwana asifiwe waumini:amen mchungaji:2mshukuru mungu kwa ku2pa cku nyingine nzuri hii ya leo mchungaji:sasa 2fungue bluetooth za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom