JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo boksi si kwa sana kwa hiyo nimejikalia tu hapa nikikumbuka enzi za ushababi wangu....mapitio yote niliyopitia na tajiriba ya maisha niliyonayo na jinsi ilivyoniumba hadi kufikia hapa nilipo...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna Baba mmoja alimkamata mtoto fulani kwa kosa la kumtania kwamba anakichwa kama mafiga,baba yule alimchukua mpaka kwa baba wa mtoto yule,MAMBO YALIKUWA KAMA HIVI: BABA WA MTOTO: Na huyo...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
A man checked into a hotel. There was a computer in his room, so he decided to send a mail to his wife. However, he accidentally typed a wrong address, and without realizing he sent the mail...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimekutana na mawazo mengi ya wanajamii wa tz hasa wale waliokata tamaa ktk mambo fulani. Pata picha kama Mungu angesikia vilio vyao. Kuna hii hapa: Bora ningezaliwa Mbwa ulaya kuliko kuwa mtu...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Wadau,nimetoka kuongea na ndugu yangu ambaye ameshiriki kwenye mchakato wa interview katika sekta moja nyeti sana nchini. Kilichonistua ni kuwa intavyuu yenyewe ni ya ajabu sana 1...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Ndugu wana jamvi, Ingekuwa vipi kama mpambano wa MBAYA BORA TANZANIA ungefanyika leo na washiriki akawa:- (a) Massoud Massoud (b) Wassira a.k.a Gombe (c) Dr. Remmy (r.i.p)...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Salaam Wakubwa Naomba mawazo/mchango wenu katika kufahamu upekee wa Mtanzania ukifananisha na nchi nyingine duniani katika Mazingira tunayoishi mf mitaa na jinsi watu wanavyosurvive maisha ya...
0 Reactions
8 Replies
853 Views
Sms
A gal received this sms: "if u think i miss u all the time u r very wrong coz i miss u only when... hebu malizieni
0 Reactions
22 Replies
2K Views
moyo waenda mbio, nina wasawasi, cna raha, cna amani, kila kitu ovyo tu..
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Three girls all worked in the same office with thesame female boss. Each day, they noticed the boss left work early. One day the girls decided that, when the boss left, they would leave right...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
A 'just married' White couple decided to make love on their wedding night in the hotel. The wife did not want to get pregnant yet and requested the husband to buy co***ms from the shop nearby...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
watanzania huwa tunashabikia sana viongozi kutangaza mali zao sasa ili kuonyesha ni jambo jema na sisi wanajamvi tutangaze zetu, tuwe wakweli. Naanza: Mi nnamiliki kalaptopu ya laki nane, redio...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Nilikuwa hospitali ya mkoa leo na nikaona kitu kikanikumbusha nilichowahi kuwaza siku moja mbona hawa manesi wa hospitali za serikali hasa wa huku mikoani hawana mvuto hivi! Hivi hawa mabinti wa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
MSHITAKIWA Rajabu Athumani (20) jana amehukumiwa kifungo cha siku 14 kwa kosa la kuonekana mahakamani akiwa amevalia kaptula chini ya makalio maarufu kama mlegezo. Athumani ambaye alifika katika...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Maisha ni magumu sana, ukiangalia mbali ndio unachoka kabisa. huu ugumu kwa asilimia kubwa unasababishwa na viongozi wetu wa siasa tulionao sasa. Jamani naona 2015 mbali sana, tutafika kweli...
1 Reactions
2 Replies
862 Views
Huyo ndio Kipipi bana...a.k.a Kakondoo ka' mama mchungaji.:wink2:
2 Reactions
31 Replies
3K Views
ndo nawai regency niombeeni mimi kama nitapona nitawaeleza ilivokuwa niombeeni rip me
1 Reactions
104 Replies
6K Views
Hivi hizi Lip Bum au Lip sticks ambazo dada zetu mnazikuta salon na kuanza kuzitumia kwa ku- share ziko vizuri kiafya kweli?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Haya, njooni msamvu kunipokea, baada ya safari nyingi za hapa na pale narudi moro, . .i hope kamji ketu hakajabadilika saana. . .
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Padri mmoja alikuwa anahubiri, akasema, “Wasiotubu dhambi watalia na kusaga meno siku ya hukumu”. Kibogoyo mmoja akacheka, akamnong'oneza mwenzake "thithi tumebarikiwa, hii adhabu ya kuthaga meno...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom