JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Gari aina ya noah iliacha njia na kuingia porini lakini hakuna mtu aliepoteza maisha wakaja trafik na mahojiano na konda yakawa hivi trafik- "gari ilikuwa na abiria wangapi?" konda- "watu watano...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
One spelling mistake can destroy a marriage.a husband wrote a message to his wife on his official trip and forget to add "e" at the end of the world "am having such a wonderful time,I wish u were...
0 Reactions
3 Replies
932 Views
One night a guy takes his girlfriend home. They are about to kiss each other goodnight, but the guy is feeling a little horny. With an air of confidence, he leans with his hand against the wall...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkono wa dhahabu vidole vya almasi...pesa tupu!! Waambile wasikile hao....
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Guyz wewe unajivunia kuwa mtanzania au unavumilia kuwa mtanzania???????
0 Reactions
3 Replies
979 Views
Eti shock-upsorber inaitwaje kwa kiswahili?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau, Kwa wale ambao ni wenyeji hapa Mwz mjini, napazungumzia pale mtaa wa Uhuru/Liberty jirani na Msikiti wa waarabu (Ibaadh) Eneo ambalo ni maarufu wanapopatikana wadada wa kazi za muda...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hawa jamaa wamechukua chao mapema....ndani hakukaliki, nje mbwa tu wanabweka. Labda hapa JF kutakuwa na jipya kabla sijalala.
0 Reactions
5 Replies
867 Views
Jamaa wawili walikuwa wakisafiri kwa mtumbwi, ghafla mtumbwi wao ukapigwa na dhoruba kali ukapinduka. Jamaa wakatapatapa wakasema "..ee Mungu tusaidie..!". Ghafla wakaona magogo mawili wakayapanda...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
mzee mmoja aliwakataza vijana kuvuta bangi karibu na nyumba yake wakaamua kumwamisha, wakavuta mbangi wakavua shati wakaanza kusukuma ile nyumba kibaka akapitia zile shati, mmoja wao alivyogeuka...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
:crazy:Kama kawaida kajoli mzee wa uchunguzi, leo nakuja na tabia za utotoni kwa watu tofauti, na ninakuhakikishia katika sifa hizi kumi lazima wewe ulikuwa nazo kadhaa. Unaweza ku like kama...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Mshua mwenye iman za kishirikina alienda sumbawanga kuchukua waganga wa 3 waje kumfanyia mambo mipango yake ikae sawa (katika gari binafs noah) kila mganga anatoa ujuz wake kwa mwenzie ndan ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi ni mimi tu au? Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la bans. Watu wanalimwa ban shoto kulia. Na nyinyi mmeliona hilo? Halafu kuna mods wawili ambao ni wachemkaji sana ila mmoja...
5 Reactions
123 Replies
7K Views
Jamaa alikuwa ana matatizo ya macho,alipoenda hospital alipewa miwani iliyomfanya aone vitu viwili viwili.Siku 1 alienda baa na mkewe,...baada ya muda jamaa aliamka kwenda toilet.Aliporudi suruali...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Kwenye mashindano ya kula ugali kwa mboga ya ajabu washindi walikua kama ifuatavyo, mshindi wa tatu alikula ugali kwa kulumangia na chumvi mfuko mzima, mshndi wa pili alikula ugali bakuli la maji...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Umewahi kutana na hii? EDUCATION IS SEXY....
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mtoto ana mchukua Baba yake kwenda kwa Daktari. Daktari anawapa habari mbaya kwamba Baba atakufa na Kansa.Baba anamwambia Mtoto hapa Duniani amekuwa na maisha mazuri ataka kupata moja baridi moja...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mke alichoshwa na vituko vya mumewe,akasema"bora ningeolewa na ibilisi kuliko ww" mume akamwangalia then akamjibu"dini hairuhusu mtu kuolewa na kaka yake.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nimekutana na MPEMBA leo feri akipata mchuzi wa pweza akidai amekosa nguvu zaunyumba kisa net zamsaada iliwasizaliane maana wataleta mpasuko wa muungano,ila yake kama yanakweli hivi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom