Members ,
Ni matumaini yangu tumeamka salama J'3 ya leo.
Wiki kadhaa nyuma nikiwa katika mishemishe zangu za kusaka daily Bread , dira zangu siku hiyo zikahitaji niende pembezoni mwa Jiji...
INSTALLING HUSBAND!!!
A woman writes to the IT Technical support
Dear Tech Support,
Last year I upgraded from Boyfriend 5.0 to Husband 1.0 and I noticed a distinct slowdown in the overall...
Nikiwa kama Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya harusi hii kubwa, napenda kutoa taarifa kwa wanajamii wote mtoe mapendekezo ya Wenyeviti wa kamati mbalimbali na wajumbe wa kamati hizo ili...
Jamaa alirudi nyumbani kutoka kazini mchana bila kumtaarifu mkewe! Kufika akaingia ndani moja kwa moja, akamkuta mkewe kavaa chup* peke yake, yupo na njemba kifua wazi wamekumbatiana. Jamaa...
jamaa kutembea tembea akapita karibu na kiwanda cha tbl si akaanguka! watu walio kuwa karibu wakajua amezimia kwa uchovu au njaa si wakatafuta maji wakaanza kum mwagia ili azinduke,jamaa aka amka...
A professor of mathematics sent a fax to his wife:
Dear Wife:
You must realize that you are 54 years old and I have certain needs which you are no longer able to satisfy. I am otherwise happy...
Kulikuwa na wakristo wawili walikuwa
wana njaa kweli siku 3 hawajala
wakaona msikiti moja akamwambia
mwenza pale msikiti hatuwez pata
chakula mpaka tuwe waislamu sasa
tubadilishe majina moja...
Wahaya kwa mbwembwe hawana mpinzani,jamaa ni mhudumu wa mochuari sasa anavyojitambulisha kwenye harusi,my name is Kamugisha am working with Muhimbili,infact professionally nawahudumia watu...
Kauli hii ni ya kawaida sana, lakini inapotolewa na kiongozi aliyeaminiwa na kukabidhiwa majukumu ya kitaifa, huwa inasikitisha, kushangaza na kusababisha watu wataharuki.
Adam Malima inabidi...
There once was a nonconformist bird that decided not to fly south for the winter. He said "I've had enough of this flying south every winter, I'll just stay right here on this farm, what's the...
(1) They say that marriage makes a man dizzy, and it's true.
(2) As soon as I got a wife, I lost my balance at the bank.
(3) Q: Why do women live longer than men?
A: Shopping never causes...
Eti Sina Hela amekufa, mbona mimi namjua na ni ndugu yangu wa damu niko nae hapa?
Eti Sina Hela kapotea, jamani hajapotea nasema ninaishi nae karibu sana
Je wewe unamjua?
Hellow wana JF na kina Nshomile woote mliopo hapa (BIshanga, Muganyizi, Nitonye etc) napenda kuwataarifu kuwa nimerudi rasmi kutoka huko kwenu. Nimekaa Bukoba ndani ya siku chache lakini...
Za mahangaiko ya week ndugu zangu.. Kuna ujumbe nimepata katika email yangu nimeandikiwa na mdada nisie mjua na ye hanijui anasema kwamba YEYE NI MKENYA MTOTO WA WAZIRI WA BARABARA SASA BABA AKE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.