God went to the Arabs and said, "I have Commandments for you that will make your lives better."
The Arabs asked, " What are Commandments? Can you give us an example?"
God said, " For example...
Nilikuwa kijana niliyehitimu kidato cha nne mwaka 1990. Baada ya kusota bila kazi kwa miaka mitatu(3),nilikuja kupata kwenye kampuni moja ya Wahindi jijini Dar.
Katika kampuni hiyo,palitokea...
Wajameni
Eneo ninaloishi mimi hapa Dar, kuna mvua kubwa balaa iliyoambatana na upepo mkali wa hatari inayonyesha sasa, siwezi kutoka kwenda kazini na watoto nimewazuia wasiende shule!.
Vipi...
JF tumekuwa tukichit chat ,tukidondokeana mambo ya flirt na mengineyo kibao ..
Lakini je hivi kwa mfano unaulizwa
Kongosho bila mjadala wala nini naitaka roho yako muda huu
hapana mambo ya ooh...
jamani wekeni hapa forums kama hii jamii forums,za kiinglish nikajoin...nataka niimprove english yangu iwe kama ya akina nyani ngabu na kiranga,nimegundua muda mwingi natumia lugha ya...
Habari zenu kina NShomile? Leo nipo kwenu naomba kujua maeneo yenu vizuri, chakula kizuri nitakipata wapi? na sehemu gani yenye full soft drinks but iko cool na safi na nifahamu pia kama mna siku...
Today, I would like to talk about myself.
Many of you do not know who Superman is. There are members in here @JF who think Superman is just an ordinary man, but I am not.
Superman is a brave...
Four friends, who hadn't seen each other in 30 years, reunited at a Party.
After several drinks, one of the men had to use the rest room. After he had left, those who remained started discussing...
Baada ya tuhuma za wizi toka jirani yake, kesi ilifika kwa mjumbe.... mjumbe: ni kweli umeiba? Mnyakyusa: ndiyo nimeiba Mjumbe:narudia tena ya pili, kweli umeiba? Mnyakyusa: ndiyo...
Wivu unatabu sana, bwana mmoja alikuwa na wake wawili, siku 1 usiku yule bwana alilala kwa mke mdogo chumba cha pili, ktk kustarehe yule bwana AKANOGEWA akaanza kusema kwa sauti nako***, mke...
Kuna wanawake ukiwapa zawadi ya Chocolate basi inakuwa umemaliza kila kitu,lakini wengine bila chips yai ua kuku basi wewe unaonekana "how comes". Hii kitu inanichanganya hadi najiuliza hivi hawa...
Kesho Mungu akipenda natarajia kuanza safari ya kurudi Mzumbeni/MOROGORO, mnamo majira ya saa 2 au 3 usiku nitakuwa nimefika Moro, kwa mida hiyo ninapaswa kulala Moro mjini/gesti halafu asubuhi...
Mm ni ss ninasoma chuo kikuu cha dodoma mwaka wa tatu ba-education.. Kwa muda mwingi nilikuwa nikilelewa na kaka yangu ila by this moment i need to see my mum because mum ndiye mwenye kufahamu how...
Wadau wenzangu habarini za jioni .
"Kosa sura pata zegembe"
Awali ya yote naomba jamvi linielewe kua hayo maneno (headin') yaliobeba Sredi hii si maneno yangu.
Maneno hayo nimeyasikia...
inasemekana majina ya ki bongo ni maneno ya vichekesho na maneno ya ajabu ktk lugha za ki magharibi..
maana yake..
asili yake..
chanzo chake...
*reply* hapa jina lako ujibiwe..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.