Nakumbuka nikiwa na 2 years kazini
Alikuja mgeni kutufanyia training kwa muda wa mwezi mmoja na nusu
He was tall ,handsome ,good looking nice smile ,nice dress ,kila kitu Kwangu nilikuwa...
Jamaa wengine waliopigwa BAN ni washikaji zetu, wengine ni sawa na watoto zetu lakini JF kila mtu yuko sawa na mwenzake hakuna kutishana kwa Umri, lakini sasa hizi mvua za BAN zimekuwa ni tishio...
Mtu na mkewe wanagombana chumbani, ghafla ugomvi unakuwa mkubwa mke anaamua kukusanya vitu vyake kwa lengo la kuondoka. Mume anashangaa anamuulizaa: Unakusanya vitu unaenda wapi? Mke kwa nyodo...
wagogo wenzangu wengi wanapofanikiwa kimaisha huwadharau wagogo wenzao...ila nawasifu vile msivyopenda kudhalilika na kujirahisi pindi mnapokosa pesa kama walivyo.............
Kama tungeendeleza utamaduni wa kuwapa watoto majina kutokana na matukio. 2011>> kungekuwa na watu wana majina kama
-Mlipuko
-Mafuriko
-Magamba
-Loliondo
-
-
Napenda kuwajulisha wengi hapa JF kuwa waziri mkuu wa Uingereza anaitwa David Cameron na sio Cameroon kama wengi mnavyo andika hapa.
Cameroon ni nchi ya kiafrica huko Africa ya kati.
Asanteni.
Najua watu tunatofautiana majukumu ya kikazi. Wengine hutekeleza majukumu yao mchana wengine usiku.
Kwa wale wamalizao majukumu yao mchana nawatakieni usiku mweme ila kwa wale wa usiku nawatakia...
Oya kuna hawa wanaosemaga eti.... "Napita tu hapa"... ktk threads..
uwa wanamaanisha nini hawa viumbe...??
na unaposema wapita wamaanisha nin?? kwamba hujaelewa au hujasoma.. na kwa nin usisepe tu...
Watoto wa siku hizi kweli ni wa dot.com....check hii..
A little boy goes to his father and asks "Daddy, how was I born?"
The father answers, "Well, son, I guess one day you will need to find...
Nikisoma mada mbali mbali kutokana na lugha wanayotumia wachangiaji huwa najenga picha fulani ya mwonekano halisi wa muhusika. Wengine nawahisi ni mijitu yenye sura mbaya na miumbo ya kutisha...
Nashkuru wakubwa,hayawi hayawi yamekua!
It is my pleasure to inform you all,that the erstwhile learned is now officially named Mtundu Kisu.
Hili ni jina langu halisi,nimeona hakuna haja ya...
1.Urais wa nchi hapa Bongo
2. Uwaziri Mkuu hapa Bongo
3. M/kiti na Katibu Tume ya Taifa ya Uchaguzi
4. HR wa kampuni/viwanda vya Wadosi
5. Udakatari wa binadamu
6. Udereva wa wakubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.