Nimetoka kule kidogo roho iache mwili kwa ghadhabu na kisebusebu, wengine wanasema kalishwa sumu wengine wanadai jamaa anajipendekeza... basi mkanganyiko mtupu!! Afadhali huku tunaulizana mambo...
wang'wise naliyomba gekeh hivi zile filamu 3 za kikombe cha babu,mara kikaja cha dogo,kisha cha bibi bado filamu hizi zinaendelea au?na kama zinaendelea zimefikia season ya ngapi???????
Baada ya hotuba ya mkuu wa shule ya kiminyio kuwa ndefu ktk mahafali ya shule, mugabe akashikwa na usingizi! Aliposhtuka akakutana na sauti ya wanafunzi ikiimba"this is the time to say good...
habari zenu jaman, hivi kazi ya makamu wa Rais ni ipi?? Maana naona jamaa kila kukicha anazindua mara shule,mara hospital mpaka baadhi ya wadau wanasema eti anatembea na mkasi mfukoni kwa ajili ya...
wahenga walivyosema hujafa hujaumbika kwakweli hawajakosea!!!!nilikutana na demu niliyesoma nae primary kwakweli huyu msichana alikuwa mbaya!ila kwa sasa ni moto wa kuotea mbali,ngozi soft na...
Habar zanu wana jf..nimewamis cna kwa kweli
Sa me apa naenda arusha kesho ntakuwa huko kwa miezi minne kikaz sa me apa nahiyaji wanajf wawe waliopo arusha wanipe kampani km huwa mnaonana iyakuwa...
Wana Jf naomba kujuzwa. Ni kitu gani kizuri kupita vitu vyote hapa duniani ambacho mwanadamu akikifanya hujisikia faraja zaidi? Mfano wengine usema kuwa ni usingizi, chakula, mazungumzo, tendo la...
Best Selling Bongo muvi
Title: Amelishwa Hajalishwa
Starring: H. G Mwakyembe, co-starring S. Sitta
Kubwa la maadui: DCI Manumba
Location: Dar es salaam and India
Mume alimkuta Mkewe anaangalia kipindi cha Mapishi
akamwambia mkewe Unapenda kuangalia Kipindi cha mapishi halafu kupika haujuwi.
Mke akamjibu Mumewe we unavyoangalia picha za X mbona na ww...
Mimi Bata maarufu, Matope chakula changu,
Nanijua ni mchafu, Taka nyumba yangu,
Vipi we maarufu, Uwe rafiki yangu,
Mimi ni Bata, Mzoefu wa kupata....
Anaendelea Tena
Kama huniamini, uliza vijana...
HAMISI TUMBUKA [25] Mkazi wa Kibamba, amekutwa amejinyonga kutokana na sababu za kimapenzi baada ya kukataliwa na mke wa mtu ambaye alikuwa akimpenda kupita kiasi
Marehehemu huyo alikutwa...
Mke na mume walikuwa wanatumia computer Moja. walikuwa hawajuani kumbe kila mmoja ni mwanachama wa JF na kila mmoja alikuwa anatuma threads zake ktk jukwaa la utani. Mke baada ya kutuma thread...
Bibi Asha Rose Migiro ndio chaguo no1 la wana ccm ktk kugombea urais 2015.
Kama ikitokea hivyo ccm'imepeta.
Maana tangu uhuru ni midume tuu,midume yenyewe yote mijizi,bora tujitoe muhanga kwa...
Nilikuwa napita tu hapa jamani, ila wanawake wa kenya ni noma jamani, mpaka vidume vimegoma kula makwao, swali je watakula kwa mama ntilie au kwa baba ntilie????
Jamani waungwana hivi wa-tz tunavaa ma-t-shirts bila kujua maana za maneno yaliyoandikwa ama ni kuvaa tu bila kujua,hebu ona baadhi ya maneno ktk ma-tshirts ya vijana niliyokutana nayo :-...
Imenikera sana tena sana, juzi nimetoka na jamaa yangu tumezoea kupanda tax eti kanitembeza kwa mguu, hlf tulipofika akaagiza soda kumuuliza baby vp leo kaanza ooh! Unajua ATM yangu ina matatizo...
Asalam aleykum wanajamvi,naombeni mnipokee mwanajamvi mwenzenu baada ya kutoka kwenye kifungo cha wiki moja Kilichotokana na kumpa mtu za uso!!
Pia naomba mdada mmoja hapa jamvini ajitokeze ile...
Mlevi alianguka kutoka ghorofa ya 3 mpaka chini. Watu wakaja wakipanic wakamwuliza 'nini mbaya?' akajibu...'hata sijui. Mi pia nimefika saa hii'
Ulevi nooooma!:lol::lol:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.