Kawaida kila mtu anaasili yake ebu kila mmoja ataje pombe za asili ya kwao.... mi ninaanza kama ifutavyo
1. Ngedule
2. kangala
3. Choya
4.Dadii
5.Mbege
6.kimpumu
7.Komoni
8.Ulanzi...
Nabebwa wakati wa kwenda kuoga, maji ya kuoga yana hiriki, nabebwa baada ya kurudi kuoga, napakwa mafuta nikwa nimelela kitandani baada ya kuoga, napewa kila ninachota na sijawahi kutukanwa...
Wadau niaje? Poleni sana kwa masikitiko aliyotuletea mwanahasha binti jk, naona wadau wameguswa sana na matokeo ya madogo kwamba hawasomi, hebu tuseme ukweli wa mungu wana jamvi kila mtu enzi zake...
Nawatafuta jamaa zangu waliosoma Songea boys sec.sch miaka ya 1988-91 na wengine ambao ni Box2 family ili tukumbushane ya kale.PIA wale wote wa Highlands high sch.1992/93,JITEGEMEE HIGH...
Habari ndugu wana jf,
kweli humu ndani wanafki wengi..!!watu munadisi fb na kueleza kwamba hamuna akaunti za fb kumbe unafiki mtupu!!
Memba kibao walikuwa fb kwa mfano...
Sio mbaya nikitoa ilmu kidogo.
Watu huwa wanashindwa kutofautisha matusi na maneno ambayo kwa kizungu huiwa 'taboo words', sifahamu Kiswahili chake. Kwa kizungu, matusi huweza kufasiriwa kama...
Wanabodi,
Kwa mlioangalia local TV zetu za bongo leo, Rais Jakaya Kikwete na Dr. Wilbrod Slaa wameonekana waki walk, hand in hand, bega kwa bega na kuwa karibu kwa wakati wote with genuine smiles...
Pichu day Leo ni siku ya UVAAJI CHUPI DUNIANI. Watu wote wanasherekea kwa kutaja rangi ya CHUPI aliyovaa leo. Je yako ina rangi gani? Ukikaa kimya maana yake leo hujavaa. Usipojibu maana yake...
Mimi weekend hii ntakuwa na ratiba kubwa ambayo haijawahi kutokea ktk maisha yangu kwani nimepeana promise na mrembö mmoja ambaye nimempenda sana yani nipo tayari kuwa naye maishani mwote, sasa...
Wife;My dear i can't see my periods nowadays.> Husband;It is only the two of us who are living in this house,that means you are suspecting me of stealing those periods of yours.(Jamaa alifungasha...
Baada ya ibada kuisha ikafuatia kipengele cha maombi,PADRY akasema
kama kuna muumin yeyot
ana maombi ainuke,
Mara mtoto akaenuka na
kuanza kuwaombea wazaz wke, Akaanza mtoto
nawaombea wale...
A snake and a rabbit were racing along a pair of intersecting forest pathways one day, when they collided at the intersection. They immediately began to argue with one another as to who was at...
Ndani ya wiki hii kuna jamaa yangu mmoja anakaa maeneo ya MSOGA kaniambia kwamba JK alikuwa anatoa kafara/tambiko kwa kuchinja Mbuzi pale MSOGA nyumbani kwake.
my quote:
Hii wana JF mimi...
"Kila nikitaka kukuyombayomba,wewe unamrashani,sasa nimekukamata lazima nikukazimzumbwi."
Hii ilikua maneno ya katuni ya zamani sana niliiona kwenye gazeti naona la uhuru au mzalendo au...
Mh. Mtalingolo ,
Rejea jana nyakati za adhuhuri, tulikua katika sharerin' za kawaida hapa Jamvini.
Kama nilikunukuu vizuri ulisema uko Iringa, nami nikakupa pole kua muda ule nilikua...
Kwenu wana wa Jamvi.
Nimeshawishika niteremke na Thread maalumu walau kwa uchache nipate mawili matatu, kufuatia Member anaetajika kwa Jina la Jane double zero.
Huyu ni kiji- binti? Au ni...
kama ulisoma st mary's ya mama lwekatare kipindi cha mwaka 2001 kushuka chini naomba tukumbushane kipindi hiko cha kina Mr. Kidu,Mr Ang'ute na wengineo!!!!nachoka manake kila nikikuta post naona...
After digging to a depth of 100 meters last year, Russian scientists found traces of copper wire dating back 1,000 years, and concluded that their ancestors already had a telephone network one...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.