Kijana Rock Francis baada ya kuhitmu masomo pale
SAUT ajira kama unavyojua tena katika nchi yetu,,,
hakufanikiwa kupata kazi.......
Kutokana na majukum kuongezeka akiwa na MKEWE
Farry Aziza...
...naomba ijulikane wazi kuwa sifanyi kazi, sina hisa wala sina cha kunufaika kwenye kampuni yeyote ya simu ila nina uchungu na nchi yangu. Ninalazimika kuwapigia simu watu kadhaa sehemu tofauti...
Wanaume wa kenya waunda chama na kutangaza mgomo wakutokula nchi nzima, kisa kuchezea kichapo kutoka kwa wake zao, je? hiyo itakuwa suruhu ya matatizo, au ndo wanajipalia mkaa kuongeza kipigo??
1. Kama hela haioti kwenye miti, kwnn bank zina matawi? 2. Kwnn gundi haigandi kwenye chupa yake? 3. Kama tunatakiwa tusi-drive wkt tumekunywa, kwnn bar kuna parking? 4. Kama neno abbreviation...
1) Flash Disks ya aina ya TOSHIBA.
2gb- 9,000/-
4gb- 10,500/-
8gb- 12,500/-
* With 1 Year Warranty.
* Hii bei ni kwa 5pcs na zaidi.
* Special for RESELLERS.
2) Memory SD Cards (for phones,etc)...
Kuna wanaJF nilishawazoea na kuwapenda kwa michango na hamasa zao hapa JF lakini muda mrefu sijawaona. Ni hawa wafuatao: Execellent, FaizaFoxy,Sikapal na NyaniNgabu.Wako wapi?
Au wamekula ban...
Mimi social network ya kwanza kujiunga ilikuwa ni The Grid nikaipotezea nikaingia facebook nikajiunga tena na twitter alafu nikajiunga nimbus alufu ndo Jamii Forums
Vipi kuhusu wewe mwanajamvi?
Three girls in a boarding school on a hot day decide to remove their clothes because of the heat. About a half hour later, the door bell rings while they were undressed.
They ask who it is. "The...
Man: Haven't I seen you someplace before?
Woman: Yes, that's why I don't go there anymore.
Man: Is this seat empty?
Woman: Yes, and this one will be if you sit down.
Man: Your place or mine...
Jamaa mmoja alikuwa na kawaida ya kufanyiana mizaha na mkewe hasa mmoja wao anaporudi na kukuta mwenzie hana habari kama karudi.
Mizaha hii siku moja ilimkasirisha mama mkwe baada ya jamaa kurudi...
Ni wimbo huu.
Jamaa anaitwa Omari Dimples akishirikiana na Ali KIBA. Video yake ni nzuri sana, ina pozi tofauti miksa costume za humo sio zile za ki-Cabo Snoop, something I like, pia Kiba na...
Wanajf,nawapenda sana.
Mmekuwa zaidi ya ndugu kwangu!Hata nikiwa na hasira na stress nikiingia humu najisikia faraja sana
Kuwepo nanyi nimepata mafundisho na changamoto nyingi.
Nawashukuruni...
wadau leo nimekumbuka mbali sana, nimekumbuka sekondari ya Tambaza ya kipindi hiko ikiwa na O-level, jinsi ilivyosumbua sana hapa Dsm kwa vurugu..je unakumbuka madent wakorofi waliosumbua shuleni hapo
Wana JF ningependa sana tujikumbushe mambo yaliyokuwa yanajiri katika kambi za jeshi. Wale waliopitia jeshini, wanajeshi na wanaofahamu vituko vya jeshi watuambie.
Siku moja afande aliwakuta...
And thats it!
Kuanzia leo thread zangu zote nitakuwa napost humu, kama wanaona zinafit kwingine watazihamisha, maana jukwaa ninalopenda kupost washaona dili kufunga thread zangu.
I've made my...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.