Bibi kizee kaenda kwa daktari wa moyo,mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo.
Daktari:bibi vipimo vinaonesha moyo wako ni mkubwa kweli halafu una tundu katikati
Bibi:we mtoto we usije ukawa...
A first-grade teacher, Ms. Brooks, was having trouble with one of her students. The teacher asked, "Harry, what's your problem?"
Harry answered, "I'm too smart for the 1st grade. My sister is in...
Najua mko bizy leo mki nurse hangi ya valentine, me nipo kwenye matanga hapa kwa whitney Houston, watu wanalia sana, tupo na akina 50cents, Akon, Lil wayne, Bow wow barazani, namuona Jay Z huyo...
Nimekuwa nawaza sana mpaka kuna wakati naogopa, hivi ingekuwaje kama ningekuwa mwanamke?
Kila nikipita napigiwa miluzi na ksiiiiiii.............
Kila mwezi nakuwa na wasiwasi wa lini itatokea...
Palitokea mkutano wa madaktari bingwa kutoka nchi 3, UCHINA, UJERUMANI na TANZANIA wakawa wanajadili mafanikio yaliyofikiwa katika nchi zao.
MCHINA akaanza...,kwetu alizaliwa mtoto hana mkono...
Wadau nilikuwa napitia vijitabu fulani vikanikumbusha enzi za shule ya msingi kwenye somo letu la kiswahili, nimetokea kuvutiwa na ile topic ya unyambuzi wa maneno. Nakumbuka mwalimu wetu enzi...
Kule kwa wazenji kwenye blog moja (jina kapuni) nimekutana na post ya jamaa mmoja ambaye anasema ameamua kuachana na JF kwa kile alichoona ina 'post zenye maudhi'. Msome hapa chini:
kassem...
Kutoka upigaji wa Nondo na kupeleka damu kwenye ma bucha ili wapate wateja wengi,
Sasa hv wemeanza mtindo mpya, wanatupa noti ya elfu Kumi, ukiokota tu unageuka ng'ombe na moja kwa moja...
Jf wadau,
Muda huu niko hom, ambapo kila Jumamosi Tv ya Citizen (Kenya) mida hii huonesha matukio ya Harusi zilizopita lastwik, Na ndiyo kutokana na niliyoyaona katika kipindi hicho, yamezaa...
Kila nikitaka kujipumzisha mchana mara nyingi simu hainipi fursa ya kufanya hivyo..je ni lipi sahihi?
niizime?
niiweke silent?
niidivert somewhere?
niactivate voice mail?
niiache ON?
Ndugu zangu hivi ukitaka kuchati online unafanya je? Nami natamani sana kuchati online, hivi vi pm vimenichosha. Mwenye maujanja ayamwage hapa tuenjoy pamoja. Wikiendi njema.
uko ofisin ndo umepokea hela kidogo,ghafla bi mdashi anakupigia kukwambia umtoe kiasi kidogo cha pesa.dakika chache baadaye unapigiwa simu na ma mkwe kukuomba hela ya kumpeleka mtoto wake wa...
1.kung'arisha viatu wakati unaenda kupiga passport size
2.kukaa kiti cha mbele karibu na dereva kisha unamwambia konda shusha
3. Kumwamsha mgonjwa ili umpe dawa ya usingizi
4.kupigiwa simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.