JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mwalimu alimuuliza swali mwanafunzi; Nikikupa maandazi 4 ukitoa matatu yanabaki mangapi? Mwanafunzi akajibu: Ukiniongezea na chai hapo mwalim halibaki hata moja.
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Walipoambiwa na mwalimu wao waandike insha kuhusu sehemu mbalimbali walizowahi kuishi kila mtoto alifanya hivyo isipokuwa mtoto mmoja alikwenda mbali zaidi pale alipoandika kwamba sehemu moja...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Whenever your kids are out of control, you can take comfort from the thought that even God's omnipotence did not extend to his kids. After creating heaven and earth, God created Adam and Eve. And...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Saa mbili usiku huu nimepokea simu ya nambari ya siri ambapo sauti ya kike ilihanikiza.Mazungumzo yetu mafupi yalikuwa hivi; Upande wa pili: Hallow! Mimi: Hallow!,nazungumza na nani mwenzangu...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wadau habarini za jioni. Moja ya malengo ya Forum hii ni kubadilishana uzoefu wa skills ama maarifa tofautitofauti, tuliyowezeshwa na mwenyezi kua nao. Muda mfupi uliopita eneo nilipo kuna...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Namaanisha niyasemayo. Kama tumeweza kumvumilia Mchambuzi na yale mathread yake marefu kama pasi za Liverpool, na kama imewezekana kuwavumilia FF, MaxShimba et al na udini wao karibu every post...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nani kamzidi kete mwenzake?? Baada ya shughuli ya kitandani,demu "gitaa lako dogooo" Mshkaji,"sawa lakin ckujua kama:doh: lingeweza kutumbuiza uwanja wa taifa"
1 Reactions
3 Replies
1K Views
MUHINDI,MPARE NA MCHAGA walienda kutoa msaada kwa masikini lakini walitoa misaada hiyo kwa masharti haya: MUHINDI:nachora duara kisha ... narusha hela juu,zitakazo dondokea kwenye duara za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamaa mmoja alikuwa akivuta bange tena ya tabora,chini ya Mti wa mwembe....alipo maliza kuvuta akalala chali lakini pemben yake kulikuwa na bustan ya Matikiti ...jamaa akaanza kumlaumu Mungu...Dah...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nilikuwa naangalia kipindi cha hawa jamaa, nimemwona VENGU akiigiza vipi jamani najua JF ipo kila kona huyu jamaa alishapona au ile wameweka aliyocheza zamani?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilikuwa nishang'oa mzigo ki- JF JF, ila ban nayo ikaja wakati usio muafaka, nikajikuta nakosa mwana na maji ya moto. Just show up once mpenzi, halafu nitakuruhusu uende tena, forever!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Alikuja na watu wanane kwenye kanisa la Baptist ulipopelekwa mwil wa Whitney lakini familia ya Whitney ikamkatalia,hata alipotaka kukaa na mwanae Bob Christa familia pia ilikataa.Akaishia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naangalia mazishi ya Whitney Huston..kuna mmoja wa bodyguard wake kapewa nafasi ya kuongea msibani.Hivi sisi waswahili huwa tunawapa watu kama hawa nafasi ya kuzungumza msiba unapotokea.Kwa mfano...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
:focus: Katika mazingira yanayoashiria fikra za maisha, wakati mwingine ni kishekesho na uhalisia.Wengi wa wadada wa Tz wamejipanga katika maisha ya kuchuna.sisemi wewe unayesoma thred .Msamiati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dereve mmoja kwa jina MIKE alikuwa anampeleka boss wake Airport. Njiani Boss alikumbuka kuwa amesahau document muhimu sana hivyo alimwamrisha Mike amrejeshe haraka nyumbani aifuate hiyo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
1) Did you know 11% of people are lefthanded 2) Did you know August has the highestpercentage of births 3) Did you know unless food is mixedwith saliva you can't taste it 4) Did you...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Vip
Kuna mwanachama anajiita 'Halisi' na nimeona yeye ana hadhi ya 'VIP'. Ni wangapi wenye hii hadhi na inapatikanaje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
viroba noma kuna mtu kalala chini ya geti langu hapa Nyumbani kwangu najua hivi viroba tu au gongo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
msinitanie na sio mzaha kaka yangu kamfumania mkewe wake kapigwa picha analiwa denda na mume wa mtu amekuja kwangu kupata ushauri na mimi tupo sawa kiumri nitamsadiaje
0 Reactions
47 Replies
3K Views
mimi na lala lakini kaka yangu kafumaniwa live ana kiss na mume wamtu naomba ushauri wenu na picha anazo kama ushahidi na hata usiku akilala anamtaja jila lake zaid ya mara tatu
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom