JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Dear Membars, nimefanya uchunguzi wangu binafsi, kufatilia visababishi ambavyo vikawapata baadhi yetu (binadamu) hutufanya tulie na kutokwa machozi. * Umepata msiba * Umeumia, ameumia mpendwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mgomo wa madaktari serikali yaolewa Pinda apindwa anyooshwa mwishowe akatika Kingwalalah shujaa wa CCM nKYA,blANdiNA ,Haji wakajifunze nidham makwao
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Unknown No.1 Hi,Do u have a boyfriend? Girl:Yes.Who are you? It's your dad, be home this weekend, and we will talk! Unknown No.2 Hi do you have a boyfriend? Girl:Not a chance,who are you...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Nilikuwa chuo wakati ninaishi na uncle wangu O’Bay. Uncle alikuwa na binti mmoja tu aitwae Jaquillin na alikuwa mkubwa kwangu na anafanya kazi Tanesco. Untie alikuwa amefariki. Siku moja alikuja...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wana jf, tigo pesa network hakuna since morning,usijaribu kutoa pesa,.Itakula kwako source: mytigo pesa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
jamaa mmoja alikuwa ana siku nying haendagi kanisan.cku moja akaamua kwenda maombi.kwa bahati mbaya akachaguliwa aanzishe pambio jamaa akaanza'BWANA AMETUFUNUA HALELUYA watu:aaaaah wewe kakufunua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mr. Mathew has a pond sorrounded by fruits trees,... One day he took his bucket and went to collect fruits,... But when he reached the pond he found some girls swimming in his pond...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Ilitokea pande za mbagala... Kuna bibi mmoja alikua na miaka 20 tangu ahamie mbagala hajawah kupata siti sa siku hiyo katika kugombania basi akapata siti ghafla akaanza kulia konda-"bibi mbona...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
0 Reactions
6 Replies
1K Views
I LOVE THIS WOMAN An elderly lady was standing at the railing of the cruise ship holding her hat tight so that it would not blow away in the wind. A gentleman approached her and said, "Pardon...
0 Reactions
1 Replies
883 Views
......by any reason kama JF haitakuwa hewani kwa muda wa mwezi mmoja? Unadhani wewe utakuwa na hali gani? Ni members gani wataathirika zaidi. Je unadhani serikali itapumua? Au mafisadi...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Hapa nilipo Minimum price ya beer ni 1,800/=. I gues mwezi wa Saba baada ya Budget bei hii lazima ifike 2,000/= and above. This will really make us think twice on Beer budget.
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Na Kiingereza anakijua kweli ama ndo hicho hicho cha kuunga unga tu hapa na pale?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
man of the match wa jana kati ya chelsea na man u alikua webb. Anaekataa hajaangalia mpira vizuri!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamaa 1 Alimpa mimba binti wa kichaga,Baba m2 alikasirika na Akapanga kumuua jamaa,Jamaa Akam2mia salaam mzee kwa kumwambia,Mzee kweli mie ndie niliempamimba binti yk,na kusema ukweli cna mpango...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwalimu wa BIOLOGY aliwaambia wanafunzi wake wachore sehemu ya kike ya uzazi (uke),mwanafunzi mmoja wa kike alijisikia aibu na kuinama chini,mwanafunzi wa kiume akapiga kelele na kusema 'hiiii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Niko na sababu ya kumshukuru Mungu kwa kufikisha umri nilio nao leo tar. 7 February kwani ni wengi walitamani kufika bt walitwaliwa! Whatever i went and am going through am thanking God cuz they...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Kucheza pull-table vipira huingia kwenye shimo na fimbo kubaki.Kuna mchezo mwingine ambao fimbo huingia kwenye shimo na vipira viwili kubaki,huu mchezo unaitwaje?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alihudhuria msiba,baada ya kuingia msibani tu alianza kulia kwa nguvu zote, baada ya muda mchache alianza kulia kwa staili ya kutingisha mabega, ikabidi jamaa wamuulize vp tena kaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom