JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Watanzania tunachagua sana vitu vya kula na kutumia angalia wenzetu wachina milo yao inapatikana kwa kwa vitu vinavyopatikana bure au kwa gharama nafuu mfano; 1. Nyoka huitaji kuwafuga unawatafuta...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kuna jamaa mmoja ktk nyumba niliyopanga anapenda sana kupiga wenzie chabo mara ktk nyufa za milango, mara dirishani na kwakuwa nyumba yetu haina dari kwa juu anapanda na kuchungulia. Amekuwa kero...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Dear friends and fellow members, Niko Airport ya Dar waiting my connection flight to Turkey. Will be in Turkey (Istanbul) for eight days at Green Park Hotel located in the City Center. Its more or...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
87% of Smartphone users use their phone on the toilet. No wonder that there sometimes is a lot of background noise: Android4Africa: Android is dominating in the Toilets :A S embarassed:
0 Reactions
3 Replies
918 Views
1. Kujiita romantic wakati upo single?. 2. Kung,arisha viatu wakat unaenda kupga passport size. 3.Kukaa kiti cha mbele karibu na dereva halafu unamwambia konda shusha?. 4. Kumwamsha mgonjwa ili...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimewasikia mwenyewe jana kijiweni walevi wakipanga mgomo wao. "Ati haiwezekani tunanyanyaswa sana kila wakitaka kupanuo wigo wa kutoza kodi wanaanza kwanza kwa walevi halafu wavuta sigara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamaa kajitoma mskitini ghafla, huku majasho yanamtoka! Mkononi kashika panga kali, Akauliza,"nani muislamu hapa," watu kimya. Karudia tena kimya "nani muislam hapa". Ghafla kamnyakuwa jamaa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni mwajiliwa kwenye kampuni ya mwekezaji hapa Tanzania, mkataba wangu unasema km nitataka kuresign nitoe notice period yamwezi mmoja au nitoe mshahara wangu mzima wa mwezi mmoja km sitaweza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Daktari mmoja baada ya kuwapa tiba wagonjwa wa akili, akaamua awape jaribio kuona kama wamepata nafuu. Hali ikawa hivi; Daktari akawaingiza darasani kisha akatoa mtihani. Kwanza akachora mlango...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Fill in the blank with YES or No... & have fun : 1. ----- I don't have brain. 2. ----- I don't have sense. 3. ----- I am dull.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tarehe 8 mshahara umeisha, sijui nitaumaliza vipi huu mwezi. Umeme, maji balaa. Chakula ndio usiseme. Yesuu weeeeeeeee...., niokoe mja wako.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa wale wanawake wenye waume zao hapa Jf mchunge sana..umu kuna vijizi vya mabwana za watu,macho yao yako juu juu kuiba tu.. Sisi tuliopendwa tukapendeka,tuliotulia tukatulizana,tuliotunzwa...
4 Reactions
174 Replies
10K Views
Kwa mara ya kwanza katika historia yangu, nimevaa vazi hili lenye asili ya Mashariki ya Kati. Moja fulani hivi nyeupe, pamoja na kofia yake yenye muundo wa nyavu nyavu. Nahisi nimependeza ile...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Mie sikuyajua haya.. Katika pitapita zangu mtandaoni ndo nikakutana na hii kitu... Hata sikuamini macho yangu. Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM
0 Reactions
3 Replies
896 Views
KUTOKA KIJIWENI Kweche: Hii ni hali ya hatari ! Susei: Kwa nini unasema hivyo, kulikoni? Kweche: Madaktari wote wamegoma, walianza wale wakawaida, sasa nasikia na madaktari bingwa nao wamegoma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jamani kama kuna mtu anaukumbuka ule wimbo tulikuwa tunapiga kwenye gwaride la shule ya msing enzi ya mwalimu Kajiba. wimbo wenyewe ulikuwa wa mwndo wa pole. unaitwa baba paka nyau, please!
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wanawake wengi wananitaka kimapenzi sinahaja raha ofisini hata mitaani
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Ebu fikiria wale mbwa wanaogongwa na magari Dar huwa wanapotea baada ya dakika chache unadhan wanaenda wap kama siyo ile mishkak tunayouziwa miamia
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wife is like a TV Girlfriend is like a MOBILE At home u watch TV, but when u go out u take ur MOBILE No money, u sell the TV, got money u change ur MOBILE Sometimes u enjoy TV, but most of...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Angalia hii crip aiseeee
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom