JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hivi Wana JF huwa mnajisikiaje mnapoona au kusikia matangaza ya yanayotolewa yanoyoelezea umuhimu wa kuosha mikono, kutumia chandarua, kunywa pombe kwa kiasi, kuosha uso au kuwa na mpenzi mmmoja...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
hi wanajf, kiukwel niliwakumbuka sana. kutokana na avater na majina ya ubinifu tunayoyatumia inawezekana ukawa hujamjua mtu halis unachat nae hapa jamvin. sasa leo napenda kukupa nafasi ya...
4 Reactions
105 Replies
7K Views
Mtoto mmoja alirudi kwao akiwa amenuna balaa! Mama:Kulikoni? Mtoto:Leo mwalim wa hesabu hakuja! Kuskia hivo,mama akafurahi akijua mwanae anapenda shule! Mama:Nitakutafutia mwalim wa hesabu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
TOP 10 YA KAULI ZENYE CHANGAMOTO... 1. Mtakula nyasi ndege ya rais inunuliwe - Mramba 2. Graduate msio na kazi kafugeni kuku biashara inalipa sana – Mahiza 3. Foleni Dar ni ishara ya maisha bora -...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nawatakia weekend njema Wanajf wenzangu na mburudike na wimbo huo hapo. Fuata link hiyo hapo chini. KURASINI SDA-DHAMBI ZANGU. - YouTube
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jamii wote heshima mbele. mchungaji osca wa kkkt usharika wa mbezi luisi amefiwa na baba yake mzazi huko morogoro. alikuwa ametokea tanga kumzika dada yake aliefariki wiki hii. tuungane na...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Tunatambua kweli kuna Taaluma ya waandishi wa habari. Kazi yao ni kuburudisha jamii, kuelimisha na kutoa habari. Bahati nzuri au mbaya siku hizi kila mkoa una wawakilishi wa kuandika habari...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
10% of women have sex within the first hour of their first date 20% of men have had sex in a non-traditional place 36% of women favour nudity 45% of women prefer dark men with blue eyes 46% of...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mlevi mmoja alikuwa akiendesha gari huku akiwa amelewa na pia akiwa na chupa ya whisky mkononi.wakati akiendesha katika barabara fulani askari usalama alimsimamisha na kuanza kumhoji kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hapo kale Moyo na ndevu walikuwa marafiki. walikuwa wanaishi kwa furaha nyumba moja. Siku moja moyo akamuibia ndevu. waligombana sana hadi moyo akakimbia. ndevu nazo zikamkimbiza moyo ili...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Sikia Hii................. Nimeshawishika kuamini kwamba si kila watoa misaada wana nia njema, mintaarafu wengi wao hususan wafanyabiashara hii huwa ni fursa pia kwao kujitangaza, hivi ndivyo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ebu ipotezeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! Sio lazima ucheke kila siku,ebo!Nimekwambia uondoke,mbona unaendelea kutoa mimacho hapa? ARAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Akiwa shoga maarufu na aliekubuhu, kwake kuchukua waume wa wenyewe ilikua kama kumsukuma cha-pombe. (mlevi). Miongoni mwa waume wa watu aliokua akitimbwirika nao ni pamoja na mme wa Mama Jeni...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Padri na Shekhe walikutana kwenye ndege, Padri akamkaribisha Sheikh kitimoto, Sheikh akasema: hatuli. Padri akasema: mnakosa utamu!. Wakati wa kushuka, Sheikh akamwambia Padri: nisalimie mkeo...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Nikiwa kwenye gari nasafiri nimepanda hiace. Mimi: konda samahani nataka kujisaidia. Konda: Jisaidie tu kwani nani kakuzuia mkuu, au unataka nikusaidie mimi? Mimi: Konda namaanisha nataka...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wale wenye anyota za kuku huu ndo mwaka wao wa bahati kwani itakuwa rahisi kwao kuishi bila presha kwani watakuwa wepesi kusahau vituko vya serekali mwaka huu. Wenye nyota za panya wawe...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Mkurya kaumwa homa,akaenda hospitali ili apimwe malari. Laboratorian akachukua kijisindano chenye ncha kali ili amtoboe kidoleni apate sampo ya damu. Mkurya kuona kisindano kidogo na jamaa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ikitokea unangalia mpira, dakika chache mpira kwisha mnafungwa halafu refa anashangia.... bonge la bao......bonge la bao.... utafanyaje?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Akatoa blauzi na mimi nikatoa shati, akatoa sidiria na mimi nikatoa vesti, akatoa skintyt na mimi nikatoa bukta, akatoa ch*pi na mimi nikatoa. tukabaki tunaangaliana,ikabidi nitoe pochi halafu...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Baada ya kufika nyumbani nikitokea safari niliamua kumwandikia msg dada aliyenihudumiachakula kwenye kantini ya chuo kikuu fulani hapa tz. Msg yangu ilisomeka hivi " Dada ninapenda...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom