JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
TEACHER: Mage, can you please name three best kings who have change people's lives?? MAGE: Drin KING Smo KING Fuc KING Teacher akazimia..
0 Reactions
14 Replies
2K Views
President Boris Yeltsin called Clinton with an emergency: "Our largest condom factory has exploded!" the Russian President cried. "My people's favorite form of birth control! This is a true...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kulikuwa na watoto wawili mapacha wa kike na wakiume,walikuwa kila siku wao ni kula kuku na chipsi,yule wa kike akakuwa mapema akota vivuzi badala ya kuagiza kuku chipsi akaagiza chipsi mayai...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Ni saa za alasiri, jua linaanza kuzama na kagiza kanaanza kutanda. Dereva na abiria wake mmoja wako kwenye barabara inayoelekea mji mmoja. Mara abiria anasikia mlio wa bung! bung! ukitokea nje ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mke alipoona mme wake ameenda safari ya mbali akaamua atoke nje ya ndoa ili atulize hamu yake,akaamua kumleta mwanaume wake nyumbani,Siku moja usiku mme akarudi kutoka safarini na alipofika...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Inavyoonekana sasa wasaidizi wote wa Rais JK wakiongozwa na Makamu wa Rais Bilal, Waziri Mkuu Pinda na Mawaziri wengine wote isipokuwa Kamanda Magufuli wameshindwa kazi au wapo likizo isiyo kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani huku mtaani kwetu umetoke msiba ndugu wawili wa tumbo moja (kaka na dada) wamefariki wakiwa wamepishana masaa mawili ...nilipomuuliza mama yangu yeye akaniambia mwaka jana akiwa kijiji...
0 Reactions
17 Replies
14K Views
Wakuu naomba msaada kama kuna mwana JF Kigali,Rwanda, anisaidie nitampaje natarajia kuwa hapo mjini in 2 days, kupumzika akama anaweza kunipitisha mitaa ya hapo, gharama juu yangu au anijuze...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
  • Closed
Najua kitawakera sana mashostito lakini kiufupi nimethubutu na nimeweza kutumia picha yangu halisi kama avatar yangu. Si kingine ila ni urembo wangu wa sura ulionifanya nijiweke hadharani kama...
22 Reactions
427 Replies
25K Views
Japanese : Impossible! American : The question ' s all wrong! British : It ' s not found on the Internet And the Indian: F(IV)E This is the reason Indians are everywhere in the world...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mama mmoja pale manzese tiptop,huyu ni mnyakyusa,umaarufu anaitwa mama kupilika. Alikuwa na grocery,na kazi yake kubwa ni kuuza vibinti toka mikoani,hasa hasa mtwara masasi na iringa. Yeye...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Hamjambo wana JF.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamaa mmoja aliwatembelea wakwe zake, mkoa fulani ambao unasifika kuwa na simba wengi. Ilipofika wakati wa kwenda kulala wakwe zake walimtahadharisha kuwa asitoke usiku kuna simba, wakaagana na...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Wife buys a Dozen underwear of same color 4 hubby her husband. HUBBY:Why Same Color? People will think I never change underwear.. WIFE:Which people who see your underwear than me? TOTAL SILENCE...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
teacher asked : Why are you late for school? Johnny: Because of the Sign. Teacher : What Sign? Johnny : The sign that says "School ahead go slow"
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kazini aliajiriwa mrembo mpya.jamaa wawili wakawa wanashindana ni nani atampata mrembo kwanza. Baada ya siku chache mmoja akasema amesha mpata. siku mbili baadaye jamaa wa pili akasema na yeye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
There's an old priest who got sick of all the people in his parish who kept confessing to adultery. One Sunday, in the pulpit, he said, "If I hear one more person confess to adultery, I'll quit!"...
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Picha ya invisible akiwa amejificha kwenye chumba chenye mkaa halafu ni giza inahitajika haraka zawadi nono itatolewa kwa atakayetia fora
0 Reactions
1 Replies
973 Views
sili,silali,sinywi sbb ya mapenzi nilio nayo juu ya memba humu ndani. Eti jaman nifanye nn nimsahau sbb ushauri wa padri haujafaa kabs. Sijui padri wa wap yule
0 Reactions
49 Replies
4K Views
1-Kariakoo jirani na mzunguko wa magari (round about):wanapatikana wauzaji wa dvd za ngono za kila aina,muuzaji mmoja alinidokeza kuwa kijiwe hicho kinafahamika pia kwa viongozi wa serikali.Wao...
3 Reactions
82 Replies
8K Views
Back
Top Bottom