JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Dah... Chama kina iba makusanyo yatokanayo na makato ya watz, then kina walipa vijana wanaoshinda kwenye Social Networks.. Kibaya zaid kinawatengea budget kabisa... Eti Mwita25, Ritz1, ACHEBE per...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Naulizia bei ya gari aina ya range rover sport ya mwaka 2005 toka kuinunua nje mpaka kuingiza nchini
0 Reactions
2 Replies
16K Views
kuna habari zimezagaa hapa mjini, kuwa ccm inakusanya watu ili kuwapeleka igunga wakati wa kupiga kura, habari hizo pia zinazidi kueleza kuwa mpango huo unaratibiwa na baadhi ya vigogo wa chama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
President Obama walks into the Bank of America to cash a cheque. As he approaches the cashier he says "Good morning Ma'am, could you please cash this cheque for me"? Cashier: "It would be...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
roselyne1 Bishop Hiluka Maxence Melo Chauro lutamyo Husninyo Romance Jamani wapenzi wa JF sina la kusema, ilikuwa na mie nisafiri kwenda Pemba, lakini n ikajisikia vibaya siku...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa kweli ukinunuliwa na wewe lazina urudishe raundi
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ahadi yangu ya kwanza nia kuanzisha vituo maalumu vya kupima magonjwa ya akili.Haiwezekani hali ngumu ya maisha ya watanzania tuliyonayo bado kuna watu huko Igunga wanashabikia SISIMU.Uwanja wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nipo kwene Bus fro Mombo to Dar, sasa tupo Mlandizi, kuna Ustadh kapandisha mashetani anadai tutapata ajali, anataka dereva afunge breki! Hashikiki wala haeleweki. Ombi, wazoefu wa mashetani kwa...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwa sasa watanzania tunaishi zaidi ya wakimbizi nchin kwetu haki zetu wanapewa wageni huku tukiendelea kulia na kuumiza vichwa. Ni lini mwisho wa huu upuuzi.?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MUME: Mke wangu nakupenda sana ila naomba kujua umewahi kuvunja uaminifu mara ngapi? MKE: Siku ya kwanza nililala na mwenye nyumba sababu alikuwa anatudai kodi. MUME...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wataalamu fulani walikuwa kwenye kongamano la tabia za watu na mitambo. Mtoa mada mmoja alisimama kelezea tofauti kati ya mwanamke na simu ya mkononi. Alisema, mwanamke ni kama simu ya mkononi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jf imekuwa kimya saana jama...tatizo nn lakini?au watu wamehamia fb?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Siku moja Juan akiwa amebeba mchanga kwa baiskeli,alikamatwa mpakani mwa Mexico na askari wa kuzuia magendo.Wakamwuliza amebeba nini?akajibu;mchanga!.Askari wakaomba kuukagua mzigo,walipocheki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kipofu aliingia restaurant moja ya mtaani. Kufika hapo mhudumu ambaye ndiyo alikuwa mmiliki akafika kumsikiliza huku akimpa menu asome... Jamaa ikabidi amwambie kuwa yeye ni kipofu hivyo ili...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mzungu mmoja alikuwa na mbwa wake aliyempa jina la kutosha, siku moja alipanda treni daraja la tatu huko kenya sasa alipokuwa ndani ya trena jamaa mmoja akapita na chipsi yai na mishikaki kwenye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwendesha pikipiki mmoja alimgonga mwenda kwa miguu mmoja aliyekuwa kabeba mfuko wa rambo.Baada ya kufunga breki,mwendesha pikipiki aliangalia nyuma akamwona yule aliyemgonga kalala chini halafu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
MLEVI mmja alioa mke. Mkewe alikuwa haja2lia hata kidogo.siku moja mkewe akiwa anajivinjari na msela,MLEVI akarud hom. mkew akamwambia yule msela usiondoke,lala hvo hvo huyo mlev...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Moya ni houseboy mweny tabia ya kuiba wine ya boss wake na ksha anaongeza maj..baada ya boss kugundua mchezo anaochezewa aliamua kutega mtego wa kufa m2. Akanunua wine ambayo inabadilika rang...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom