JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Maeneo ninayoyajua kwa sasa ni Chako-Ni-Chako bar, Younique Pub, Rose Garden Bar.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Dogo mmoja tangu alipozaliwa hadi umri wa miaka mitano hakuwa anaweza kusema. Siku aliyoanza kusema, alitamka neno moja tu, "Bibi". Siku ile ile, bibi yake akafariki. Sku ya pili akatamka...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kamfumu afumuliwe na kashinde ashinde.
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Jamani wana jf watanzania tumeongezeka pia naomba usafiri wa majini uongezeke ili kupunguza ajali kama hizi juzix2 mv bukoba and now the same problem, same cause. HUU UMASKINI JAMANI.MUNGU...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Kumbe hapo mwanzo watu wote tulikuwa weusi, ila katika ujio wa Mwenyezi mungu alipendezwa watu wote tuwe weupe sasa akaanza mchakato wakutubadilisha watu wa mataifa mbalimbali wakiwemo wazungu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Huwa nawaonea huruma wanafunzi wa vyuo wanaofanya mafunzo kwa vitendo kwenye maofisi yetu! Wakike sasa ndo wanakoma (kutongozwa), midume kutumwa kama ni vibaraka.
1 Reactions
28 Replies
4K Views
jamaa mmoja aliibiwa Poch na buku ten Akaamua kuwakomoa wezi ↲ Jama akawambia wezi oya poa ka mmepanga niibia milion kumbe ni buku ten↲ Wezi katika kugawana mmoja akasema we jamaa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wapendwa ndoa ya rafiki na jirani yangu iko hati hati ya kuvunjika, kisa jamaa katafuta mke mdogo (ofcourse anasema dini yake inamruhusu). Niliwahi kumwonya mke hakunisikia...kisa jamaa...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
wanawapa wanaogombea umiss Tanzania maswali magumu hivyo jamani....no wonder wadada wa watu wameambulia patupu......wangeuliza kama bendera ya tanzania ina rangi ngapi zinapresent nini?LOL
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Harusi ya kukata kwa shoka inafanyika leo Mwanza katika uwanja wa CCM kirumba.Waalikwa zaidi ya 2500 ama zaidi wanataraji kuudhulia,kwaufupu inasemekana itakuwa na-wageni kutoka KenyaUganda,DRC...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Bosi alimuaga mlinzi wake kuwa kesho yake jioni anasafiri kuenda SA. Usiku ule mlinzi akaota kunatokea ajali ya ndege ambayo bosi angesafiri. Asubuhi yake akamjulisha bosi kuhusu ndoto yake ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu mimi ninapenda sana kusikiliza radio,nafikiri umefika wakati tuwapongeze watangazaji wa vipindi mbalimbali wanaojituma kufanya kazi zao kwa bidii na uhakika. Mimi napenda sana wafuatao...
0 Reactions
75 Replies
25K Views
an arab was being interviewed at a US checkpoint...Name plz. "abdul aziz" sex? "six times a week!!!" no, no I mean male or female!."doesn't matter, sometimes even camel!"
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Doctor to his lady patient, "You look terribly weak and exhausted! Are you having your meals three times a day as I have advised?" Lady replied, "Doctor, I thought you said three males a day."
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamaa m1 alikwenda shambani, akamuacha mkewe na ndugu yake wa kiume. Aliporudi akamckia ndugu yake na mkewe wakiongea: Mke=haa!! Shemeji Shemeji=haa nini? Mke=kumbe na wewe huu mchezo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamaa akanunua sabuni maarufu iitwayo OGESHA ilikuwa inatangazwa mno kwenye radio, TV na magazeti. Akafika home usiku, kama kawaida kuna mgawo wa umeme na watu kibao wanaoga, akaamua aogee kwenye...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Teh teh...Bolton kumbe ni wababe kuliko wale jamaa zetu waliofungwa nane!wao(bolton)wamefungwa tano tu.roooney kaondoka tena na mpira,mpaka ligi iishe chumbani kwake kutajaa mipira, teh teh!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Man in bar orders kingfisher beer. Lady next to him: What a coincidence, Even I have ordered kingfisher. Man: I'm celebrating. Lady: Me too. Man: What a coincidence. Why are you celebrating...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wikiendi ya majonzi sana
0 Reactions
2 Replies
951 Views
Wiki nimekuwa nikiangaika sana na kazi za kujenga taifa. Sasa nimeona niweke fursa hii japo niende nikajiliwaze Beach huku nikikata story na msichana yeyote bila kujali kubagua. hata wakiwa zaidi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom