Sijui kama ni mimi tu lakini kuanzia mwezi huu wa nane nimeanza kusikia sana watu wenye majina haya zaidi ya muda wote maishani mwangu,
ukikaa Bar utasikia 'we Masaburi tuu utaniambia nini' ...
Mama mmoja baada ya purukushani na kukurukakara nyingi,alifanikiwa kuingia ndani ya DSM la ubungo-g/mboto.Mama alipoingia ndani ya daladala alidaka chuma la juu kuji-support bila hata kuangaza...
price of the dress.
Lady: what is the price of this dress?
Salesman: 5 kisses
Lady: what is the price of that dress?
Salesman: 10 kisses
Lady: OK pack both of them & bill will be paid by my...
"i hate love, but i must love because god gave me love,
how can i escape from threat of lov???
This is by loving someone who is out of my head and out of my site.....
I advise you to do as i."!
bosi mmoja alikua na ofisi yake na siku moja alipo kua anaingia ofisini akamkuta messanger anakiss( kula denda) na secretary wake.. basi bosi kwa hasira na sauti kubwaa akamwuliza messanger.."...
Leo wakati najikumbushia program fulani ya computer nilikutana na formula ya kupata mwezi wa pili una siku ngapi kati ya 29 au 28 katika mwaka husika. Nimejiuliza sana ....hivi kama ulizaa mtoto...
(1)shinyanga;Hii imemkuta baba yangu mkubwa enzi za ujana wake,mara ya kwanza alikuwa anachunga mbuzi huko kishapu shinyanga.Mara baada ya kuona mbuzi wameshiba,aliamua kupiga usingizi ili kuvuta...
hii ni live yani..! leo asubuhi nilikua kwenye kakazi fulani hivi asubuhi mitaa ya home kwetu tanga uswahilini hukooo sahare...! jamaa mmoja inavyoelekea jana yake alikua amelewa kinyama na...
kesho ni holiday
natafuta wa kuinjoy nae
napiga simu kwa asha
huyu ni rafiki yangu anafanya kazi ,ananiuliza una hela? mara nyingi wkendi huwa naenda kukaa kwake narudi kwangu jpili jioni yeye ni...
Jana nilikutana na ka-window 7 kangu mahali fulanifulani ili tujaribu kuintall software yangu...bwana bwana.....nilikapeleka lodge fulani sikutegemea kanafahamika sana yaani ile kufika tu mhudumu...
hebu fikiria ndio umepata taarifa kuwa Bujibuji ametutoka, je utamkumbuka kwa kipi/ lipi?
Poleni mlioshtushwa na heading.
Kuishi ni Kristo, KUFA FAIDA.
Umepata safari ya dharura usiku wa manane,ngeleja kaficha umeme wake,huna kifaa chochote chenye kutoa mwanga.Katika droo kuna pair tatu za soksi nyeupe na pair tatu za soksi nyeusi.Unataka kuweka...
One day, a couple was having a walk in the evening, and the woman saw a beautiful dress that she insisted him to buy it for her.
The man hadnt enough money to buy that dress, but a woman insisted...
A blonde, wanting to earn some money, decided to hire herself out as a
handyman-type and started canvassing a wealthy neighborhood. She went to the
front door of the first house and asked the...
A blonde, wanting to earn some money, decided to hire herself out as a handyman-type and started canvassing a wealthy neighborhood. She went to the front door of the first house and asked the...
Katika kile kinachoonekana kuwa na mzio na rangi nyekundu, klabu ya Yanga imepeleka maulizo hospitali ya Muhimbili kuuliza kama inawezekana kubadilisha rangi ya damu ya wachezaji wao kuwa njano...
Mchaga mmoja alidondoka kisimani,akapiga kelele huku akiwa anatapatapa,mkewe akaja na kamba mpya akamrushia iliamvute,mume akamuuliza umenunua shs ngapi hiyo kamba?Mke akajibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.