One morning the husband returns after several hours of fishing and decides to take a nap. Although not familiar with the lake, the wife decides to take the boat out. She motors out a short...
Ndugu wana JF
Hakuna chama cha siasa ambacho ni muhimu kuliko maisha yetu,hivyo basi hakuna haja ya kuwa mwanachama wa chama cha siasa ikiwa chama husika cha kisiasa kitakuwa na...
Tiba ya Babu wa Loliondo ni uthibitisho tosha wa utawala usiofuata sheria.
Hoja yangu hapa sio kama anatibu au la. Lakini hakuna taifa litaloacha watu wake kunywa dawa inayotolewa bila...
Je tujiulize mwalimu Nyerere alikua anafikiria nini?
Alisema maadui wanaotukabili kama taifa ni watatu yaani UJINGA, MARADHI NA UMASIKINI.
Naamini huu ndio msingi uliomuongoza mwalimu katika...
Hayawi hayawiiii....sasa yamekua...ktk hali ambayo haikutegemewa na wengi...bodi ya Utalii Tanzania(TTB), imeanza kuitangaza tiba inayotolewa na Mchungaji Ambilikile Mwasapile wa Kijiji cha...
English Is A Phunny Language
Principal to student... : " Tomorrow call your parents especially mother and father
(Any other options???)
Class teacher once said :
"Pick up the paper and fall in...
Usione kimya best...nipo kwenye foleni Loliondo toka jumatatu, mimi ni mtu wa 1561..! huku hakuna kuzamia ukizamia tu au kutoa rushwa hauponi...nyuma yangu nawauona jamaa kibao, mohamed Shossi...
Nimesikitishwa na jinsi watu wenye nyadhifa zao mbalimbali serikalini na taasisi za dini walivyochukulia suala la babu wa loliondo.kuna waliokurupuka mfano waziri lukuvii hasa baada ya kupinga...
One day a man is sitting in his office, stressed out, on the 19th floor of a Building. A man comes running into his office and shouts, John, your daughter, Anna just died in an accident right...
Kuna baadhi ya watu kila kukicha wamekuwa wakipinga shughuli anazoziendesha Mchungaji Mwasapile, sijui kwa nini watu wanapata shida na shughuli anazoendelea nazo mzee huyu, nilidhani watu...
Mimi ni mkristo Mlutheri(nimezaliwa katika familia ya kilutheri).Tangu nilipoanza kujitambua nimekuwa nikihoji baadhi ya misimamo ya kanisa,mfano ni dawa za kienyeji. Huwa najiuliza inakuwaje mtu...
Habari niliyoiona kwa macho yangu sikuamini baada ya kushuhudia ng'ombe akiwa amezaa kiumbe chenye maumbile ya binadamu huko kenya.
Chanzo the citizen tv
nashukuru kwa kuwa mstari wa mbele kutuhabarisha katika tasnia mbali mbali lakini niloliona leo ni mfululizo wa makosa kadhaa ambayo yakiendelea mtapoteza maana halisi ya kutuhabarisha na kuwa ni...
Mzee Wa Loliondo
Inasemekana Mzee kaoteshwa dawa ya kutibu magonjwa yote . Wapo watu wanaoamini kuwa ni kweli inaponya na wapo wale wanao tarajia iponye magonjwa yanayowasibu vile vile wapo...
Nimepata email hii, nakata kujua kama kuna ukweli wowote.
Thanks
Coca-Cola Great Britain,
Promotion/Award Prize Dept.
1 Queen Caroline Street
Hammersmith London
W6 9HQ
Congratulation your E-mail...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.