JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
CHAGGA WOMEN First Date: You get to buy her Amarula (or Redds), mbuzi choma and dance the whole night. You have to buy her credit, to organize for the second date. Second Date: You get to...
1 Reactions
62 Replies
12K Views
Kuna jamaa alichora tattoo ya neno ADIDAS ktk uume wake ili akamuoneshe demu wake mpya,walipofika nyumbani wakavua nguo,jamaa akamsuprise kwa kumuonesha demu wake tattoo hiyo lkn kwa kuwa uume...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
KUAMINIANA! Mke wa Frank anajivunia mume mtulivu, hashindi baa na hatongozi videmu. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za dinner. Siku moja mkewe akamhurumia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
President Obama and Gordon Brown are shown a time machine which can see 100 years into the future. They both decide to test it by asking a question each. President Obama goes first: "What will the...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Source: Yahoo friends. Sijui kama ndiye huyu mwanajamii au ni ukoo wake kijamii, maana nimekutana na wengi na hawataki kufafanua mahusiano yao na mm tumjuaye. Swali: Mheshimiwa Rais je unawajua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kikwete alienda marekan akaona jengo 1 halina umeme, akamuulza obama "vp na nyie huku mna mgao wa umeme" obama akajibu, " ule ni ubalozi wa tanzania"
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Padri alipotelewa na jogoo. Akaamua kutangaza kanisani,alianza hivi nani ameona jogoo? Waumin: Wanawake wote wakasimama padri: hamjanielewa haya nani anajogoo?waumin: wanaume...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Unakaa kijjni na shughuli zako ni kupeleka jongoo mjn,lkn ukiondoka mkeo naye anagawa uroda kwa jamaa, jirani mwema akaamua kukuambia kuwa unaposafiri mkeo anatoa uroda,hukumuamini na kuamua...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tutaendelea na utaratibu wa kupiga mabomu kila juma 5,kuanzia saa 2:30 hadi saa 5 usiku,mpaka WATANZANIA kwa hiari yenu mtakapokubali deni la Dowans lilipwe!baada ya kuanza na maeneo ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja aliyekua akiishi vijijini alitongozwa na wanaume wawili Wamakonde katika siku moja basi kwa maksudi aliwapa miadi katika pori saa za usiku . na wote aliwapa miadi pahala...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dear sir, I am aply to my job of security guard to you boss in you company of CEAL. I am complete to Sitandad 7 examination certificate in 1997. My skool here Nyamongo very good. I am 27 ears...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1.Nipo ngangari kuhoji 5. Miguu mashakani Vazi la soksi na uvaaji ! Haifai matembezini 2. Sitambui kushoto wala kuliya 6. Soksi mwavaaje...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hapo zamani za kale kulitokea ubishani wa muda mrefu kati ya chupi na socksi nani anapambana na harufu kali,ubishani ulikuwa mkali hadi wakapigana na kuumizana ,eti wanajf hebu tuwaamulie kati ya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Baada ya kumaliza ibada ya jumapili, padri mmoja alitoka kwa ajili ya kupunga upepo. Akiwa katika matembezi akakutana na watoto watatu wakigombana. Walikuwa wananyang'anyana kitoto cha mbwa. Yule...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tutaendelea na utaratibu wa kupiga mabomu kila jumatano kuanzia saa 2:30 mpaka saa 5 usiku mpaka watanzania kwa hiyari yenu mtakapo kubali deni la dowans lilipwe. Baada ya kuanza na maeneo ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
nimekuwa nikiangalia kipindi cha vioja mahakamani kutoka kwa ndugu zetu wakenya they are so creative na kila kipindi kinatofautiana na kingine kweli wanajua sana mambo haya
0 Reactions
2 Replies
900 Views
Tumetengeneza ringtone mpya ,na anayehitaji andika neno GONGO acha nafasi andika MBOTO kisha tuma kwenda JESHI malizia na alama ya # ,hapo utapokea milio ya mabomu ktk simu yako ,je unahitaji hyo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kevin wanted to have sex with a girl in his office, but she belonged to someone else... One day, Kevin got so frustrated that he went up to her and said, "I'll give you a $100 if you let me have...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nianze kwa kuomba r.i.p kwa marehemu wote wa mabomu gongo la mboto ,na majeruhi wawahi kupona mapema,but kweli vita mbaya yani ktk kimbia kimbia kila mtu kuokoa roho yake kuna mama mmoja amejikuta...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom