Asilia Natural Cosmetics tuna uzoefu wa zaidi ya miaka 5 katika kuendesha mafunzo kwa vitendo ya bidhaa za nyumbani. Na sasa tumekuja na formula rahisi ya kuwezesha uzalishaji wa sabuni ya kipande...
Jamani nimeomba mkopo kwa hawa watu wa Faidika microfinance ltd, lakini nashangaa toka nijaze mkataba ni kama Wiki ya tatu lakini bado hawajanipa pesa yangu kwa wazoefu mnisaidie mkopo wa hawa...
SAMIA SULUHU apania kuibadilisha Tanzania kuwa Mfadhili kupitia gharama za kijamii (Tozo) - (SSH turning Tanzania into a Donor Nation through Social costs).
Na Galila Wabanhu.
Kwanza watanzania...
Habari wana jukwaa.
Naomba kufahamishwa utaratibu wa kufwata kununua/kujimilikisha mali ya serikali.kuna magari mabovu yapo kwenye ofisi za harimashauri nataka niyanunue kama chuma chakavu...
Wakuu habari za kazi
Nilikuwa naomba msaada wa kufahamu vigezo vipi na taratibu zipi zinahitajika ili kuanzisha kampuni ya plates numbers manufacturing kwa hapa Tanzania.
Habari ya uzima wanajamvi?
Natumaini wote tumejaliwa zawadi adhimu ya uhai na Mola yeye atuwezeshaye kufanya yote tuyafanyayo kila siku.
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au jambo...
Jamani, mliofanakiwa kujiajir haswa kwenye maswala ya biashara mliwezaje? Mpaka mkafika hatua ya biashara kusimama, na kujiendesha yenyewe, na kufanya maendelea binasfi kupitia hiyo biashara...
HABARI ZA WAKATI HUU WAKUU
Naimani muwazima na bukheri wa afya. Nataka kuuliza ni wapi nitapata vinywaji vya jumla(pombe hususani). Haswa vinywaji kama local beers na hivi vikali.
Kuachana na...
KWANINI SAFARI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NEW YORK NI YA MUHIMU KIUCHUMI.
BILA shaka aliposema “Ili ufike haraka nenda peke yako, ili ufike mbali nenda na wenzako,” alimaanisha. Rais Samia...
Habari wapendwa,
Mimi ni mwanamke ambaye natafuta mshirika katika biashara ya mgahawa wa chakula na vinywaji, anaweza kuwa wa kike au kiume ila awe anajitambua na kuelewa maisha yanvyokwenda. Pia...
Part of the reason that CFDs are illegal in the U.S. is that they are an over-the-counter (OTC) product, which means that they don't pass through regulated exchanges. Using leverage also allows...
Wakuu, Jana nimekwenda kwa wakala kutoa hela ya mboga kidogo kama 400k ila nashangaa hadi leo hii sijapata SMS kwenye simu yangu kutoka NMB mkononi na nimejiunga toka kitambo na kila transaction...
Nina hitaji kujua Benki yenye mazingira Bora kwa ajili biashara hasa ndogo nahitaji kufungua account ya Biashara.
Nazikwepa hizi Benki kubwa kama CRDB, NMB na NBC, maana hawa wana wateja wengi...
Hello Fellas
"Life is a School.I have been driving for some times now,I have hard accidents and incidents but I never learnt one thing.All accidents and incidents are results of careless driving...
UTANGULIZI
Matikiti maji ni tunda kubwa la mviringo ambalo linastawi vizuri katika maeneo ambayo ardhi yake aitwamishi maji kwa mda mrefu. Matikiti maji ni mojawapo ya jamii aina ya matunda au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.