Habari wakubwa naitwa steven ni kijana wa miaka 25 nipo Songea ni muhitimu wa fani ya welding and metal fabrication mwaka 2019 nia yangu natamani fungue na nisajiri kampuni yangu ya utengenezaji...
Title: Sustainable Fish Farming Program
Description of my Solution
I will develop and implement new gender-responsive knowledge and technology in improved breeds, fish health, aqua-feeds and...
Naomba watanzania muwe makini sana na kijana anaitwa Peter Kasanga aliyeko mkoani mwanza mwenye kampuni ya fx fire, anafanya biashara ya uwekezaji yaani unawekeza pesa na mwisho wa mwezi unalipwa...
Baadhi za taasisi za technologia, kampuni za serikali na binafsi Wana uhaba wa mafundi nchuno wa kike( engineer wa kike).
nin chanzo la ili tatizo. a)Elimu ya msingi na sekondali. b) Wanafunzi wa...
Jamani naulizia biashara ya kuchukua mchele kutoka nakonde kuleta dar inaweza ikahitaji mtaji wa shingapi make nataka nianze kufanya iyo biashara sa bado sina uzoefu naombeni ushauri wenu wakuu.
Wapendwa nahitaji kufanya biashara ya bidhaa nilizotaja hapo kwenye title huku mkoani kwa jumla na rejareja...
Msaada ninaohitaji ni kupata supplier, nimejaribu kuzunguka kkoo lkn kila...
Poleni na majukumu wana jamiiforum..
Ningependa kufahamu namna y a kufanya malipo kwa supplier wa kichina,maana anahitaji nifanye malipo wa pesa za kichina yani CNY na si usd .
Na ananiuliza km...
Habari zenu wana janvi..,
Nilimaliza chuo mwaka 2009 na kuanza kutafuta kazi.., ilinichukua mda mrefu sana bila kupata kazi mpaka ikafikia hatua yakukata tamaa juu ya kuajiliwa. Maana nilipoteza...
Wakuu nahijitaji vifaa vya stationery kwa Bei ya jumla Kama ifuatavyo.
1.Realm paper
2 flat files
3.printer ink HP laser jet 83A na 85A
4. Endorsing ink
5.blue pen and red pen
6.Box files
7.rubber...
kupitia huu uzi tujuzane jinsi vindu mbalimbali vinavyoundwa. Unaweza kukiona kitu sokoni ukaona ni complex sana lakini kumbe utengenezaji wake siyo hata complex.
tuelekezane kwa maelezo aua kwa...
Mimi si tajiri ila nataka kuwafundisha utu na ubinadamu matajiri walioko JF.
Nataka kijana mwaminifu mmoja kutoka Jf nimwazime 50 na airejeshe baada ya mwezi mmoja au miwili ili nimwazime...
Heri wakuu. Poleeni na mihangaiko.
Mimi ni kijana Mjiolojia na nina uzoefu wa uchimbaji mdogo wa madini ya Dhahabu na Vito vya Thamani yaani Gemstone.
Ningependa tupeane ushauri na kama kuna...
Bila shaka mu salama wadau, kama ilivyo ada kwenye jukwaa letu pendwa la biashara huwa tunapeana taarifa kuhusu michongo mbali mbali ya kutukwamua kiuchumi.
Basi; naomba tutumie uzi huu mahsusi...
UZALISHAJI WA MAZAO KWENYE NYUMBA YA WAVU YAANI GREENHOUSE
Kilimo cha nyumba ya wavu (greenhouse) kinaendelea kupata umaarufu nchini na ujenzi huu ambao hutumia plastiki au wavu umekuwa chaguo la...
UZALISHAJI WA MAZAO KWENYE NYUMBA YA WAVU YAANI GREENHOUSE
Kilimo cha nyumba ya wavu (greenhouse) kinaendelea kupata umaarufu nchini na ujenzi huu ambao hutumia plastiki au wavu umekuwa chaguo la...
Habari za wakati huu;
Je wewe ni mmiliki wa biashara?kati ya hizi zifuatazo?Duka la Spear za Magari,Duka la Dawa,Duka la bidhaa anuai,Bar,Restaurant na Pub.Je biashara yako ina tawi zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.