Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Wakuu kwema? Naona watu wengi Sana tumejaa mijini nakufanyia biashara palipo na senta, lakin Kuna mazingira ya kishua tumeyatenga mfano Kuna sehem nimepita naona hakuna huduma ya duka karibu na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
So you have seen the advertises on the internet or maybe been to a seminar on how forex will make you rich overnight.The truth is to tell you the reality that 90% of retail FX clients do not make...
10 Reactions
18 Replies
6K Views
Wakuu nahitaji mteja wa mbao.naahidi kuwa Bei itakuwa rafiki na inayoendana na Hali kubwa zaidi mteja ana Uhuru wa kununua mbao kwa mjibu wa vipimo anavyotaka yeye.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Najua kuna ambao watashangaa ninachotaka kusema hapa. Namzungumzia mtu anayeitwa Rugemalira wa Escrow. Huyu ni mmoja kati ya matajiri wa nchi hii ambao historia ya utajiri wao iko wazi. Ni mtu...
10 Reactions
17 Replies
2K Views
Vyumba vinapatikana maeneo ya mwenge univerity wanafunzi nicheki kwa namba 0735407588
0 Reactions
1 Replies
399 Views
Ishu ipo ivi katika pita pita zangu na kuchungulia ile app ya Ali express, ambayo ninayo kwenye simu hua naangalia kuna bidhaa gani mpya ambayo naweza nunua kwa matumuzi yangu binafsi? Bana...
9 Reactions
44 Replies
7K Views
Nimefungua sehem ya kuuza mayai ya kisasa na kienyeji, kwa bei ya leja leja na jumla.. Sasa, naomba ushahuri, bidhaa gani nyingine niweke kwenye , atleast ambayo itafanya ofisi iwe busy kidogo,
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza naomba anaejua sehemu wanayobadilishia pesa ya republic of Dominica anisaidie maana nimejaribu kutembea kwenye maduka ya kubadilishia pesa (bureau de change)...
1 Reactions
4 Replies
956 Views
Fursa tulizo nazo katika kipindi hiki wazazi wetu hawakuwahi kuziota. Zamani sana kazi ilikuwa ni moja tu,Kilimo au ufugaji.Kazi nyingine ziliendelea kuzaliwa kadiri teknolojia ilivokuwa inakua...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba ku share nanyi kuhusu fursa hii ya biashara ya maziwa nchini. Kwa tathimini ndogo ambayo nimeifanya mimi mwenyewe hasa kwa kanda ya pwani kama mkoa wa pwani na morogoro nimegundua maziwa...
1 Reactions
13 Replies
10K Views
Habarini wanajamvi, mimi ni muajiriwa wa private sector. sasa kama mnavyojua jamani maisha ni kujitafutia mbali na kauajiriwa. Kwa upande wangu baada ya kukaa kwenye ajira kwa miaka mitatu...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakuu kwema, nimepata frame Tegeta kwa ndevu ipo ndani umbali wa mita 500 kutoka barabara ya lami, hiyo nyumba yenye frame ni lodge ina milango minne ipo njiani kwenye road za mitaan, Kodi ni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Uhuru wa kifedha ni ule uhuru wa kufanya mambo kama upendavyo au kutekeleza mahitaji yako yote kama upendavyo. Uhuru wa kifedha sio uwezo wa kuoanisha mapato na matumizi tu bali ni uhuru mpana wa...
2 Reactions
2 Replies
988 Views
Habari wadau, ni wapi naweza pata kipaza sauti kama hicho kwenye picha na bei zake zipoje?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wabongo bwana! hakuna kipato rahisi hasa online forex and ather online investmen kwenye bitcoin kuekeza kwenye coin Kuna changamoto nyingi sana hasa bitcoin all company ni total Scams. Nimeingia...
47 Reactions
1K Replies
148K Views
ONGEZA MAALIFA KIDOGO, WANAUCHUMI KARIBU KWA MAONI. Hili game ni mfano wa kundi la watu watano( hapa namanisha banks,commercial banks, hedge funds n.k), wamekaa chini wamedesign system inayopanda...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
WELCOME TO ANC ASSOCIATES ANC ASSOCIATES is a Certified Public Accountants in Public Practice Firm registered by the National Board of Accountants and Auditors of Tanzania (NBAA) as Audit and...
0 Reactions
0 Replies
516 Views
Habari wakuu!! KARIBU kwenye mada yetu ya Leo, Katika maisha kila mtu anakitu au jambo fulani ambalo wengi wetu tunatamani kufanya Leo nataka tujuzane au tufundishane kuhusu hilo na pia...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Msaada wadau.nipo mbioni kiagiza bidhaa za chakula..raw material za kupikia vyakula hivi natakiwa kuwa nakibali kipi?.asanteni
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom