Tulipotoka; Tulipo; Na Tunapoelekea. Miaka 100 ya historia ya Fedha na Uchumi wa dunia.
Let's Do it Great Thinkers [emoji116][emoji116]
1. Historia ya dunia tunayoishi (industrialized world)...
Kuna fursa nyingi makaburini nawapa wale wavivu wa kufikiri ziko za kuanzia kuchimba na kujenga makaburini, kuuza Sanda na majeneza, kukodisha mahema na viti na kuviweka makaburini, kukodisha...
no miezi sita Sasa imepita tangu nifungue biashara ya mahitaji ya nyumbani duka langu so kubwa saaana ni kawaida tu kwa maana ndo naanza Ila Sasa nimekua nikipitia changamoto ya kukosa wateja...
Habari zenu
Naombeni mliowahi kusafiri huko mnijuze ni safari inayochukua masaa mangapi kutoka east africa hadi USA
Pia naomba kujua nchi ambazo ntapitia na kubadilisha ndege kama utaratibu huo...
Habarini wanaJF,
Ningeomba muongozo mahala pa kuwasilisha project yangu kwa ajili ya kuomba grant ya kuitekeleza hapa Tanzania.
Project hii itagharimu takriban Tsh 500M na pia kama kuna mtu...
Habari wana JF,
Kama vijana tunapata changamoto nyingi katika kupambana na maisha yetu ya kila siku, na baadhi yetu tukiwa tunajiuliza tutatoka vipi?
Kwani biashara nazo zimekua shida kwani...
Mimi ni mchimbaji mdogo nipo na eneo la uchimbaji tatizo ni vitendea kazi,natafuta mtu mwenye kuweka compressor tu kwa ajili ya uchimbaji.
Nitamlatia shares,Kama na Kuna mwenye kuweza kupata ball...
Bismillah.
Naomba kujua kwa mtu yeyote aliyeishi au kununua mtumba mji wa bunjumbura. Kat ya Dar na Bujumbura wapi mtumba wao n mkali na bei yao inatofaut sana na huku?
Help me niga mi nko...
Habari ndugu zangu naomba wanauchumi wanisaidie vitu hivi
Nimejalibu kupitia bond investment calculator ya BOT, nimejalibu kuweka tsh mil 500,000,000 kwa muda wa miaka 25 na nikabofya calculate...
Bila kuwapotezea mud me ni Graduate wa IT na ktk kutafuta kazi sioni mafanikio ila nina wazo la kuanzisha saccos ambayo itajumuisha vijana wote wa mahali ninapo ishi tatizo cjui utaratibu wa...
Ni kweli kwa sasa kabla ya kukamilika kwa mradi wa umeme wa Stieglers Gorge Power Project au Nyerere Hydropower Plant, Tanzania kuna upungufu wa umeme unaosababisha kukatwa katwa umeme kwa mikoa...
Wakuu habari,,nataka kufungua duka la vinywaji hasa vileo kwa bei ya rejareja maeneo ya Tabata ila bei zangu nataka ziwe za chini kama kwenye super markets vile,,kama Wine, Whisky, Beer shampagne...
Hello JF members
Wenye ujuzi tusaidiana katika hili kitaalam zaidi.
Nataka kuendesha biashara mfumo wa kampuni au kuanzisha kampuni 3.
Moja itajihusisha na maswala ya mavazi (yaani maswala yote...
Habari za wakati huu wakuu
Naomba kuwasiliana na watu wenye uwezo na uzoefu wa kusimamia na kuongoza miradi ya shirika lisilo la kiserikali.
Kwa wale watu ambao waliwahi kufanya kazi kwenye...
Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.
Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.