Habari za asubuhi wana jamvi. Niwape hongera kwa kuendelea kua hai mpaka dakika hii..Shukran ziende kwa Allah.
Niende kwenye mada...nataka kuanza kutengeneza cookies kwa ajili ya biashara naomba...
WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA: ANZENI KUTOA HUDUMA KUPITIA VITUO VYA HUDUMA PAMOJA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo haziajaanza kutoa huduma kupitia vituo vya...
wadau nahitaji mteja wa kuaminika wa vanilla kavu. naanza na kg 120 zilizopo. mwenye offer nzuri ya nje au ndani atoe mchango wake kwa mjasiriamali mimi. mteja awe dar au bukoba
Wadau wa Biashara na Uchumi,
Nchi yetu inapitia kwenye hatua za makusudi za kuinua uchumi ulioathiriwa vibaya na corona. Tunatoa wito kwa kila mdau wa sekta yoyote, asimuachie jukumu hili...
Nimepitia mtandao wa Alibaba, naona kuna magari ya bei nafuu sana kuliko mitandao ya magari tuliyoizoea, Na kuna magari mengi ya umeme ya chini ya 5M Tzs, Sijajua ni kuna mlolongo upi wa manunuzi...
Nnastationery kubwa nauza bidhaa za ofisin na mashuleni,natoa copy na kuscan pia napiga paspoti na huduma za kibenki,ni huduma gani tano nyingine naweza kuwa natoa .
Habari za leo wakuu, kijana wenu naomba kujua naweza kutumia usafiri gani kusafirisha pikipiki kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma pamoja na bei zake.
Kama kuna kampuni utairecommend pia...
Nawasalimu ndugu zangu wa JF, Habarini!
Niende moja-kwa-moja kwenye mada husika.
Mimi ni kijana (21), mjasiriamali wa kilimo na mwanafunzi (UDSM).
Kutokana na harakati zangu za kilimo cha...
Habari ya leo wakubwa,
Leo nimeona niwashirikishe hii changamoto ya uchafu watu wanao fanya biashara zenye matumizi ya choo kwa wateja wao inavo weza kuwa kikwazo cha kuwa na wateja wa kudumu...
Wakuu kwa wale ambao niwazoefu kwenye hzo cryotocurrency hasa upande wa wallet nimeona baadhi ya wallet charge yake Ni kubwa Sana mfano remitano kuwidraw wanakata Zaid ya 0.0005btc lakin...
TBS: WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI JITOKEZENI KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA MNAZOZALISHA
Na Mwandishi Mwanza
WAFANYABIASHARA na wajasiriamali wa mikoa ya kanda ya ziwa wametakiwa kujitokeza...
Habari yenu Mimi ni Kijana mjasiriamali na ni mtaalam wa computer haswa Hardware na Software naomba kama Kuna mtu mwenye Keyboard ⌨️ ya Dell Vostro 3500 aniuzie pia unaweza kunicheki WhatsApp...
Habarini za majukumu, ninajua kuna blogs,website na platfom nyimgi tuu za ndani ya nchi na nje ya nchi ambazo hulipa waandishi baada ya kupublishi habari zai.
Kwa mwenye connection ya jinsi ya...
Habari zenu wana Jamii forum.
Kama kichwa cha habari hapo, naweza kupata wapi connection ya kupeleka bidhaa yangu ya Korosho nje nchi.
Korosho ambazo zipo packed, zile za kuokwa na salted...
TUJIFUNZE KIDOGO KUHUSU HIZI LINKS NA EMAILS NAOMBA MUWE MAKINI SANA NA LINK ZINAZOSAMBAA MTANDAONI.
[emoji3578]Kwanza naomba nianze na maana ya hizi htpp:// na htpps://...
Wakuu hope mko poa.
Nimeanzisha bihashara mwezi wa kwanza, mtaji ni 2m.(Duka la rejareja)
Sasa nilipo kuna demand kubwa ya vinywaji lakini sina friji, nilienda Bonite kuomba friji, wamekuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.