Wakuu msaada wenu tafadhari, kuna zile Ceiling boards za Tanzania, ninaomba kwa anayefahamu kiwanda chake kipo wapi na kinaitwaje? Ninatanguliza shukran zangu za dhati kwenu nyote
Wakuu katika fikra za nimeweza kugundua kwamba kama utaweza kupata Tsh.100 ya kila mtanzania bas unaweza kuwa billionaire chaapa
Iko Hivi; Tanzania ina watu takriban 61,711,296
61,711,296×100=...
Natumai mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku.
Naomba kwa mwenye taarifa ya upatikanaji wa zile kamba za kuwambia/ kushonea vikapu hivi vya Siku hizi ambavyo ni rafiki kwa mazingingira...
KUKU KUCHI NA MALI ZA KALE ZA MJERUMANI.
Uhusiano kati ya Mali za Mjerumani na Biashara ya Kuchi.
Watu wengi wamejikuta wanafilisika kutafuta mali za mjerumani mara birika mara pasi mara sijui...
Nyumba ya wageni ikiwa kwenye location nzuri, penye shughuli za kibiashara, ni biashara iitakayo kuingizia pesa ya kula hata na ya ada ya watoto.
Sikuhizi watu wanapenda vyumba ensuite, hivyo uwe...
Wajuvi mimi ni mfanyakazi wa hoteli sina muda mrefu kwenye hii kazi nilipewa DIRHAM 200 pesa ya UNITED ARAB EMIRATES baada ya kumkaribisha vizuri mgeni wa kiarabu
Je wapi naweza kubadilisha hizi...
Jipatie 13mm Powerful impact driller (2000W) full set kwa TZS 140,000/= ikiwa na TOOLBOX.
Ina waranty ya mwaka mmoja ikiwa na..
1. Bit set za Chuma, Mbao, Ukuta na Aluminium na vifaa vya kupigia...
Habari wakulungwa
Leo katika pitapita zangu kwenye email zangu nikakutana na email 📧 niliambiwagwa nijiandae kwa virtual interview, lakini mpaka Leo Mwezi wa Tano
Lakini nakumbuka hilo Tangazo...
Habari wakuu,
Nimekuja kwenu kutaka fikra na mawazo.. Niko ktkt biashara ya duka la jumla la vyakula kwa muda Sasa changamoto iliyopo kila mshindani wangu analenga kushika wateja soko kwa...
Mimi ni kijana wa kitanzania Lengo La Kuja hapa ni kuomba msaada wa uwekezaji katika biashara ya VIDEO PRODUCTIN, PHOTOSHOOT and GRAPHICS DESIGN ili aweze kusaidia upatikanaji wa vifaa vitakavyo...
Habari wakuu,
Naombeni msaada wa account nzuri kwa ajili ya saving ile ya vijiehela kidogo kidogo daily na ambayo ntaweza kuweka na kutoa muda wowote isiwe FIXED. Pia isiwe na zile monthly...
Habarini za kazi wapendwa wote.
Kikubwa zaidi kilichonifanya niandike Uzi huu ni kuuliza kuhusiana na biashara ya nguo za mitumba (second handed clothes) kutoka nje ya nchi .
Ya kwamba utaratibu...
Ninaimani ,humu jf kuna watu wanapiga pesa kupitia mitandao tena wakiwa wanekaa tuu, Tupeane basi maarifa na jinsi ya kuzipata hizo ,tusaidiane kujikwamua kupitia mitandao ya kijamii maana kuna...
Habari wakuu?
Samahani ndugu zangu naomba muongozo kwa mwenye ufahamu/uzoefu wa biashara ya uuzaji wa samaki wabichi(mahitaji yake kuanzia vifaa na documents kama vile leseni)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.